Tunapongeza Serikali kwa hatua hii nzuri sana kwa sababu zifuatazo
- Inaondoa presha kwa wazazi na wanafunzi pia
- Inaondoa wimbi la wizi wa mitihani
- Inaondoa shule kupandisha ada kwa sababu ya ufaulu
- Hii hatua SERIKALI naipongeza sana wizi wa mitihani kwa udanganyifu utaisha
- Sasa watoto watapata elimu sahihi