hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Sungusia kuchaguliwa rais wa TLS; matumaini ya katiba mpya yameanza kuonekana

    Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria. Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
  2. bitebo7

    JamiiForums Tanzania Hongera mtani mpira sio uadui

    Nawapongeza watani zetu, ingawa roho inauma kwa mafanikio ya soka lenu lilivyokua kwa kasi Kwenye ushabiki nitasema nyinyi ni wabovu ila mbungi ikipigwa nakubari kuwa mlijifunza kutoka kwa 🦁 na mmeongeza kitu zaidi Mwakani naamini chama langu SIMBA litafanya mabadiriko, nasi tutaonesha...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga Nawapenda Japo Mimi ni Simba na sitahama

    Hello family, Hongereni Yanga na Mungu awape heri na fanaka kwenye haya mashindano ya CafCC. Inshallah nguvu moja na upendo For our country and for sports. Wadiz
  4. TODAYS

    JamiiForums Tanzania LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
  5. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga kwa tamasha la kuwacheka Simba

    Habari wakuu. Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa mpira wa Miguu. Nikaanza kuipenda Simba nikiwa na miaka 7 Mwaka 2003. NAOMBA NIWAPONGEZE YANGA KWA KUANDAA TAMASHA LA KUICHEKA SIMBA KWA SABABU ZIFUATAZO. 1. CHANZO KIPYA CHA MAPATO. Yanga wametumia Fursa kutoka utani WA jadi wa kugawana wake...
  6. MtuHabari

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Mwinyi, Rais Samia Uko Wapi?

    Katika hotuba zenu za Mei Mosi jana kuna suala sugu sana ambalo Rais Mwinyi amelikumbuka lakini mama Samia hakuligusia hata kidogo. Ni Suala la PENSION ZA WAZEE WASTAAFU WALIPWAO NA HAZINA. Serikali ya Mapinduzi imetangaza bila chenga kupandisha viwango vya pension kwa 100% lakini huku kwetu...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Zuchu kwa sasa hakuna kama wewe

    Sina records nzuri lakini sijawai kuona msanii wa kike Tanzania amebeba tuzo nyingi hivi kwenye event moja. Zuchu kwa ili unastahili hongera, upo kimya umeacha kazi zako zipige kelele. Sisi ndio tunajua namna gani Zuchu ni mkubwa mtaani ila tukisema inakuwa nongwa umu watu wanapanic. Hongera...
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

    Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia: ''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

    NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO. Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy. King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Sekeseke la Misafara ya Viongozi ni kero ya kudumu. Hongera Dkt. Mpango kwa kulitambua

    Habari Siku moja nilikuwa namgonjwa natokea Kahama, Ikabidi tuondoke mapema ili kuwahi dar es salaam mhimbili! Tulipofika maeneo misigiri singida tukawekwa kando kupisha msafara. Tumekaa nusu saa kimya hakuna kiongozi aliyepita! Nikaona bora nisogee kidogokidogo kupitia rafu road (njia ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Mkurugenzi Mkuu na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando

    Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center. Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi. Mimi binafsi...
  12. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Balozi Mulamula, Taifa limekwepa aibu ya kumkosa Membe. Hongera Rais Samia

    Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, Lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee, Diplomatic kadhaa walijaribu...
  13. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la balozi Mulamula, Taifa limekwepa aibu ya kumkosa Membe. Hongera Rais Samia

    Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee. Diplomatic kadhaa walijaribu...
  14. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Afya kwa kukabiliana na uvumi wa maji ya ajabu Micheweni

    Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo". Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka ufukweni yakisemekana yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali jambo ambalo limebainika sio la kweli...
  15. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Leo nimepita pale gairo kwenye kiwanja cha shule ya msingi,, kumejaa watazamaji kulikuwa na mechi ya cricket nikapata fikra india imehamia tanzania!!!

    Kwa yeyote anayehusika na uhamasishaji, ufuatiliaji , utaratibu na uratibu wa kusimamisha, upatikanaji wa uwanja, uboreshaji wa uwanja huo na upatikanaji wa timu. Mafunzo ya timu hizo, mpaka kuwezesha kufanyika law mashindano madogomadogo ndani ya wilaya ya GAIRO. Tumezoea kushuhudia ...
  16. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Hongera Engineer kwa kujihusisha na usajili na kuleta wachezaji wazuri Jangwani!

    Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini unajihusisha na usajili... mjomba ulikuwa unampandia ndege mchazaji unapomwona anafaa bila kujiuliza...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika. Niko mahali...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umeshauri mtu avae Hijab nyekundu, huyo mtu akavaa, utajisikiaje? Kwa hili, Big Up Rais Samia na Serikali yako kwa kuwa wasikivu

    Wanabodi Jumapili ya leo, ni March 26, 2023, nimepata tena fursa ya kuja na makala nyingine ya kwa maslahi ya taifa. Mabandiko mengi humu JF ni mabandiko kuhusu habari na matukio "news and events", kuzungumzia watu na matukio, lakini ni mabandiko machache sana humu ni ya mawazo tuu na vitu vya...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Building Better Tomorrow (BBT): Hongera Bashe, sisi wakulima tunasema piga hela za Rais Samia haswa, zile kwelikweli Kaka!!

    Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa ! Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?. Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku kama ya leo, miaka miwili iliyopita. Kuna msemo wa Kiswahili usemao, "mgema akisifiwa, tembo...
Back
Top Bottom