hoja

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

    Amani iwe nanyi Wadau. kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka. Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Heche apangua Hoja zote za mwandishi wa StarTV

    Mhe. John Heche Yuko live StarTV. Huyu jamaa ni Jembe na ni kichwa. Amepangua hoja zote kuhusiana na tuhuma dhidi ya CHADEMA kuhusu Mwenyekiti Mbowe na kufukuzwa kwa Wabunge waliokaidi agizo la chama kujitenga Bungeni. Saafi sana Mhe. Heche.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha kikundi cha Ujasiriamali

    Ndugu habari, Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
  4. JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] - Ripoti ya CAG

    Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali[CAG] huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaojenga hoja kuhusu Matumizi ya ruzuku kwenye vyama vya siasa wasikilizwe, ni fedha za walipa kodi lazima wajue zinavyotumika

    Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa. Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamiliki wa maroli nchini Kenya wazuia maroli yao kuvuka kwenda Uganda kwa hoja ya madereva wa Kenya kunyanyapaliwa

    Ukistaajabu ya Musa... Kile Tanzania ilichokipinga kwa unyanyasaji walio kuwa wanafanyiwa madereva wa Tanzania kwenye mipaka ya na Kenya ndicho Kenya imekifanya huko Malaba mpaka baina ya Kenya na Uganda. Wamiliki wa maroli Kenya wamezuia maroli yao kuvuka upande wa Uganda hadi pale...
  7. JamiiForums Tanzania Chadema imekosa hoja za kupambana na CCM na kwa mantiki hii wamekubali matokeo mapema

    Wahenga walishasema asiyekubali kushindwa si mshindani. Ila kukubali kushindwa hata kabla mtanange haujapigwa ni ishara mbaya sana. Chadema kama chama kikuu cha upinzani sasa kinaonyesha dalili zote kuwa kimenyoosha mikono juu. Kama ni vitani sasa wameka silaha chini na wameshakuwa mateka...
  8. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali

    Tokea Lijuakali atoe hoja yake juu ya chama chake Cha Chadema baadhi ya wafuasi wa Chadema wametokea kupotosha hoja ya msingi ya Bwana Lijualikali sijajua ni kwasababu ya uchama wao au kukwepa kwa makusudi hoja ya Lijuakali. Lijuakali ajalalamika kuhusu kuchangishwa pesa Kama wanavyodai wapenzi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA mnaohamia CCM, huku hakuna kuandikiwa hotuba, hoja wala maswali itawalazimu mjifunze kutema " madini"

    Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema. Kuna wakati...
  10. JamiiForums Tanzania CCM Imepoteza dira, haina hoja tena

    Eti wangepewa muda wajitetee! Majibu ya kujitetea kwa Membe yako wapi? Lissu alijitetea wapi? Nasari alijitetea? Meya wa Jiji mpaka anafungiwa ofisi!, Meya wa Iringa Je? Meya wa Ubungo je? Ccm mmepoteza dira ni chama ambacho hakina hoja mbele ya umma. Naunga Mkono Mbowe Safisha Chama bado kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Hebu tuangalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais Magufuli Maabara kuu ya Taifa

    Ni jambo la kushangaza na kutia shaka kuona wataalam na wanasayansi wa Tanzania wanavyopinga uchunguzi wa Rais kwa hoja dhaifu. Hii inatia shaka juu ya uwezo wa wataalam tulio nao hapa nchini. Hebu tungalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais kwa jinsi wataalam wetu walivyozitolea...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kiongozi yupi ungeshauri ajiuzulu kutokana na kushindwa kuwajibika katika janga la COVID19?

    Wanajukwaa naomba kutoa hoja hii tuijadili sisi kama Watanzania tuliowapa dhamana watu fulani kutuongoza. Nchi si mali yao bali ni mali ya Watanzania. Je, kwa hali tuliyo nayo sasa wewe kama Mtanzania unadhani ni kiongozi yupi amevurunda zaidi na anapaswa kuachia madaraka? Utoe sababu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Hoja ya kuficha idadi vifo tuzipuuze, tuiaminie Serikali yetu. Idadi ya 16 waliokufa kwa Corona ni idadi ya ukweli na halisi, ila...

    Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona Tanzania mpaka hapa ninapo andika bandiko hili, Tanzania wamekufa watu 16 tuu kwa ugonjwa wa Corona...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Wabunge wachangie hoja zao kwa maandishi na yatumwe kwa teknolojia, au laa, video wazirekodi zitumwe kwenye mfumo wa Bunge

    Hii inaweza kuwa mbadala kwa Bunge, michango yote iwe kwa maandishi kutoka wanakoishi na ihesabiwe kwamba yuko bungeni, au au watumie teknolojia ya video,ajirekodi huko aliko katika mazingira nadhifu anatuma video katika mtandao wa Bunge, Bunge linarusha laivu
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona. Amesema mbunge huyo anaendelea vizuri na Serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki. Kwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo...
  16. JamiiForums Tanzania Uwajibikaji hauko ‘Twitter’ pelekeni hoja bungeni

    Tumewachagua wabunge au viongozi kidemokrasia, tukitarajia watakuwa wajibikaji na kutusemea huko kwenye vyombo stahiki kama Bunge. Hali imekuwa tofauti kwa wabunge wengi ambao mara nyingi wamekuwa wakija kuandika kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kujibizana na wananchi au kujitetea kuhusu...
  17. JamiiForums Tanzania Mjue mwanzilishi wa hoja dhaifu ya 5G kusababisha Covid-19 kabla haijakamatwa na "wakamata-fusra wa nadharia njama"

    Jua kilichotokea kwa ufupi kisha ujisomee kiambatanisho na link iliyoko mwishoni Hoja dhaifu kwamba Covid-19 imesababishwa na teknolojia ya 5G Ilianzishwa na Daktari mmoja wa Ubelgiji anayeitwa Kris Van Kerckhoven. Alifanyiwa mahojiano na kazeti la kidachi la Het Laatste Nieuws tarehe 22...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Magufuli kukimbizana na Chadema na kuacha hoja yake kuu iliyokuwa ni UFISADI

    Nimesikitika sana baada ya kusoma report ya CAG kichere hakika ni majonzi makubwa kwa walipa kodi wa taifa hili, kuanzia Halimashauri wizarani, NEC, Police, Jeshini pesa zimepigwa sio utani hakika zimepigwa. Je wizara zilizo chini yake hali ipoje? je ununuzi wa ndege je matumizi yake hali...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Anguko la upinzani na hoja pofu ya Tume Huru ya Uchaguzi

    Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Pongezi Mhe. Spika Kuliongoza Vyema Bunge Letu, ila Sio Busara Kutumia Bunge Kujibu Trivia Issues za Mitandaoni, Zina Downplay Hoja Rasmi za Msingi!.

    Wanabodi, Naendelea kusisitiza kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosea na kwenye mapungufu tushauri, katika uendeshaji wa Bunge la safari hii, kiukweli wa dhati ya moyo wangu, safari hii Mhe. Spika anajitahidi sana kuliendesha vyema Bunge letu kiasi cha kustahili pongezi Hivyo hili ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…