hoja

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hoja kuhusu China kuweka mtego wa madeni barani Afrika ni habari za uwongo zinazotungwa na nchi za magharibi

    Katika karne ya 21, kutokana na mahitaji ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kiwango cha madeni cha nchi za Afrika kimeongezeka sana, na shida ya madeni ya Afrika inafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa na nchi za Afrika. Pamoja na kwamba kiwango cha ushirikiano kati ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wa CCM wanatumia hoja za wapinzani walizotoa Bunge lililopita? Hakuna hoja mpya?

    Kwanini hoja zilezile zilizotolewa kwenye bunge Mwaka 2015-2020 ndizo zinazoibuliwa leo na wabunge wa CCM wakati kipindi zinatolewa walizipinga? Hoja ya kutumia taskforce kukusanya kodi iliezwa vyema bunge lililopita na wabunge wa CCM na uongozi wa Bunge pamoja na Mawazir waliipinga vikali...
  4. JamiiForums Tanzania HOJA: Je, umahiri wa lugha ya kigeni ni kipimo cha akili?

    Kumekuwa na hoja miongoni mwetu Watanzania kuhusu matumizi ya lugha za kigeni hasa Kiingereza kutumika kama kipimo cha mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili. Je, hoja hii ikoje? na ina ukweli kiasi gani? HOJA NAZOWAZA ZITHIBITISHE KWAMBA KUJUA KIINGEREZA SIO KUWA NA AKILI NI KAMA IFUATAVO: - Lugha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hoja za hawa wanazi wa CCM, ni dhahiri tumeanza kuongea lugha moja

    Rejea kichwa cha habari juu. Kwa sasa bungeni hakuna wapinzani wa kweli, kwa hoja za wabunge halisi, wanazi, wanachama kindaki ndaki, watiifu wa CCM kama Nape Mnauye, Joseph Musukuma kuhusu kufungwa kwa biashara sasa tunaelekea kwenye chumba kimoja. Hii ni dalili ya kuanza kuongea lugha moja...
  6. JamiiForums Tanzania Naunga mkono hoja ya kuimarisha mifumo ya nchi

    Mtindo wa sasa wa mambo miradi inayofanyika inategemea maamuzi ya mkuu wa nchi ni hatari Sana na inatujengea utamaduni mbaya kama nchi. Kuna maeneo ya nchi hii kama Rais Hana mzuka nayo inakuwa bahati mbaya Sana kwao. Nitatoa mfano mmoja Kwa sasa mkuu anapenda kuona Jimbo lake linapaa na Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hoja za Tanzania na Burundi kuhusu Corona ni za kuigwa

    Kwa upande wa Tanzania raisi wa nchi hiyo Makufuli alipokuwa akizindua shamba la miti kwao Chato alisema tuendelee kuchukua tahadhari ya ugonjwa lakini hakuna haja ya kujawa na hofu na kwamba watu wajifukize na hata akataja dawa zilizothibitishwa na mkemia mkuu kuua virusi na bakteria...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Corona Wabunge wetu mjitambue nyinyi ni wawakilishi wa Wananchi na sio wataalamu

    Nimesikiliza baadhi ya michango ya wabunge wetu juu ya Corona nikabaki na maswali mengi najiuliza hawa wanaongea bungeni kama watu gani? Anasimama mbunge bungeni anachangia mjadala kwa kuelezea Corona ni nini? Inasambaa vipi? na kibaya zaidi anahitimisha kwa kutoa wito kwa wananchi ni kitu gani...
  9. JamiiForums Tanzania CCM yaanza kuzifanyia kazi hoja za Lissu

    Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha wala jina la mhusika Serikali ya CCM imeamua kujirekebisha baada ya Lissu kuwashambulia wakati wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla amuomba Rais Magufuli kutolea kauli ombi walilompelekea Waziri Bashe, lakini Bashe apangua hoja kwa data!

    Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo. Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo...
  11. JamiiForums Tanzania WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hoja - Tuiondoe rangi nyeusi kwenye Bendera haina maana

    Ile rangi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Bado nalia na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya 2016

    Bado nalia na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya 2016.Leo nimesoma katika gazeti moja la nipashe majibu kuhusu Utekezaji wa Sheria hii. Pamoja na mambo mengi Bodi wanasema wanakata asilimia 15 badala 8 na Retention fee inayokatwa kwa mdaiwa eti Sheria hii ilihusisha wadau ikiwemo vyama vya wafanyakazi...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee wa Ileje aliyegoma kumpeleka mwanaye shule alikuwa ana hoja, alipaswa kushauriwa ili aendelee kusomesha

    VIDEO YA MZEE WA ILEJE ASIYE TAKA KUMPELEKA MTOTO WAKE SHULE. Na Elius Ndabila 0768239284 Mwanzoni mwa wiki hii kuna video moja imetrend sana ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya ILEJE Mh Mkude akihojiana na Mzee ambaye hataki kumpeleka mtoto wake shuleni. Mzee huyo akionyesha utetezi wake kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Bwana Tundu Lissu, Hoja ya Chato na Maendeleo ya sasa inajibika Kimantiki

    Salaam Wana JF. Nimesoma na kuona andiko la Bwana Tundu AM Lissu kutoka Ubelgiji akijenga hoja juu ya maendeleo ya vitu na watu ndani ya eneo la Chato anapotoka rais wa sasa Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Sijaona mantiki ya Lissu kupotosha umma wa Watanzania dhidi...
  16. JamiiForums Tanzania Ustaarabu udumishwe viongozi wanapowasilisha hoja kwa watumishi wa umma

    Wanabodi, Ukizingatia changamoto tulizo kuwa nazo ni vyema kuona kwamba tumevuka mwaka 2020 salama. Kitu ambacho ningependa kujadili na wenzangu leo ni hali ambayo imekuwa ikijitokeza na kujumuisha viongozi serikalini kutumia njia ya ukali usio wa lazima na kwa vipindi vingine njia ya kuwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria. Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya. Kadhalika DC Kihongosi amewaponda...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Moja ya hoja Maalim Seif kwa SUK ni Masheikh wa Uamsho kuachiwa au kesi yao isikilizwe

    Rais wa Zanzibar yupo na Mtizamo tofauti kuhusu Zanzibar, pamoja na kwamba anajua aliingia kwa njia zenye vitendo vya kidemokrasia bado anatambua kwamba bila Zanzibar moja hakuna maendeleo. Amejaribu alivyoweza kumvuta Maalim Seif karibu kwa lengo lakupunguza machungu lakini bado hajaondoa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar isichanganye hoja ya Maridhiano na Serikali ya umoja wa kitaifa, yumkini haiko tayari kwa Maridhiano

    Hio ndio hali halisi. CCM inajaribu kuhadaa umma eti kwamba Dr Mwinyi yuko tayari kwa maridhiano, sio kweli. Tokea kumaliza kwa uchaguzi wa 2020 ulioacha machungu, simanzi, vilio na dhulma za wazi kile kinachoitwa maridhiano wala hakipo hadi sasa. Hakikuwepo mwanzo na hakuna dalili...
  20. JamiiForums Tanzania Hoja mbili zilizombeba Mdee na wenzake 18 ktk Press: Nafasi 19 za wabunge Viti maalum ni halali na Wabunge wote 19 waliojaza nafasi hizo ni halali

    Picha ya Pamoja ikimwonyesha Mhe. Halima Mdee na wenzake 19 mara tu baada ya kuapishwa na Spika Job Ndugai (hayupo pichani) JIjini Dodoma Juzi Nimepata fursa ya kusikiliza maelezo ya Halima James Mdee aliyoyatoa jana, tarehe 01 Desemba 2020, mbele ya waandishi wa habari, katika Hoteli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…