hoja

  1. Keynez

    Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
  2. Mfikirishi

    Rais Samia atangazie upya suala la Kikokotoo cha Mafao

    Wakuu: ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake. ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai! ✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi...
  3. Fight ClimateChange

    Najibu hoja za ndugu Humphrey Polepole kuhusu mwelekeo mpya wa nchi yetu

    Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu. Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60. Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
  4. sky soldier

    Wageni wa Ulaya, America na Asia hupewa thamani kubwa mno kuliko wazawa wa Tanzania

    Video ya utangulizi hii nasisitiza sana uiangalie mpaka mwisho, utapata picha kamili kabla hujasoma hii maada Tangu nimezaliwa hapa nchini ma hadi sasa nikiwa na miaka 31 kuna mengi nimeyaona na kujifunza katika hii nchi, kitu kimoja wapo ni thamani kubwa mno anayopewa foreigner kuzidi...
  5. B

    Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

    Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi. Adamoo kaeleza mwenyewe...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume. Hakunaga haki Sawa baina...
  7. Side Makini Entertainer

    Tuangalie hii kiundani huenda ikawa kweli au si kweli kuhusu Nelson Mandela

    Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
  8. LIKUD

    Hoja kwamba eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba ni uthibitisho kwamba watanzania wengi Wana uelewa mdogo Sana kuhusu" Human Psychology"

    An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology. Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa.. Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa...
  9. Jeef George

    Hoja yenye mashiko

    Habrini wana jamii forum wenzangu natumaini hamjambo kwa sababu Mungu yupamoja nasi ! Kuna time najiuliza kuhusu nchi yangu ya Tanzania kwa tathimini yakufikiri sana, Maisha walioishi mababu enzi za ukoloni na maisha ya sasa kunautofauti mkubwa sana pia changamoto hazikosekani . Katika maisha...
  10. A

    SoC01 UVIKO -19 inavyodhibitiwa

    Ndugu wazalendo wana JamiiForums hususani jukwaa la Stories of Change Kwa afya niliyonayo leo ninawaombea wote pia Mungu awaunganishe na Mimi katika andiko langu hili mkiwa na afya njema mungu awabariki na awaepushe na tatizo lolote la kiafya, Leo nitachambua kinagaubaga juu ya ugonjwa hatari...
  11. MO11

    Zile bilioni 20 zipo wapi?

    Simba One team one dream Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata kuongelea ila hawa ndugu zetu wamekazia shingo kama ndio wakiziona watapata ubingwa Wana swali lao eti...
  12. Red Giant

    Hoja ya Polepole na hoja ya Gwajima juu ya chanjo ya Covid-19

    Polepole: Moja, Polepole yeye anasema kuwa corona ni ugonjwa uliotengenezwa na big pharma ili yapige pesa. Kuwa mabeberu wanaachana na kuvamia nchi kuiba mafuta na sasa wanatengeneza magonjwa ili kupiga pesa. Pili, Anasema kuwa kasi ya kirusi kubadilika(ku-mutate) inatia shaka, si ya kawaida...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

    Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI...
  14. MchunguZI

    Wabunge Wanapokosa hoja za kisiasa wanakimbilia vifungu vya misahafu. Ongezeni ufahamu wa siasa

    Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na wanasiasa waliofilisika kisiasa na wanahangika sana na elimu ya dini. Safari hii Spika kaangukia pua...
  15. The Palm Tree

    What is going on? Wachangiaji wa hoja ya mashtaka ya Mch. Gwajima (MB) na Jerry Silaa (MB) wote ni wajumbe wa ile kamati iliyowahoji..!!

    Mimi nashangaa kidogo jinsi mambo yanavyokwenda dhidi ya mashtaka ya wabunge Mch. Gwajima (Kawe - CCM) na Jerry Silaa (Ukonga - CCM) ambapo mjadala unaendelea hata sasa niandikapo hoja hii... Tayari m/kiti wa kamati ya "kuhoji" wenzake ameshasoma taarifa ya mahojiano na mapendekezo ya hatua...
  16. Komeo Lachuma

    Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

    Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima. Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa...
  17. R

    Approach sahihi kwa Askofu Gwajima ilikuwa kumuandalia mdahalo na wataalamu wa tiba wamjibu hoja zake

    Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa kutotishika atazidi kuwa maarufu. Na wakikosea zaidi wakamuumiza popote, au hata wakimfukuza ubunge...
  18. J

    Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  19. MR TOXIC

    Hoja za Askofu Gwajima zimewaumbua wataalam wetu na waliomuingiza 'mkenge' Rais Samia kwenye chanjo ya Corona

    Nilitegemea wataalam wetu wa afya pamoja na washauri wa Rais waliomshauri kuagiza chanjo ya corona watakuwa mstari wa mbele kujibu hoja za askofu badala yake wamekuwa watu wa kumshambulia yeye binafsi na kumpa vitisho badala ya kujibu hoza zake kitaalam. Katika hoja ya kwanza, Askofu gwajima...
  20. comte

    Unaunga mkono hoja hii ya majina ya barabara

Back
Top Bottom