hoja

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

    Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo. Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:. 1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku...
  2. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Hoja kwa Polisi na TRA kuhusu kutoa mizigo bandarini

    HOJA na MALALAMIKO kwa POLICE na TRA kuhusu biashara ya kutoa mizigo Bandarini, Naanza kwa TRA unachangamoto kubwa kwenye kukokotoa malipo ya Wharfage , kunahaja gani kutumia custom value badala ya kutumia CBM kwa mizigo/ magari ya Zambia na Zimbabwe? Inaleta ukakasi Sana, mteja anakupa kazi...
  3. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

    DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Usiwaze ya pekee, waza na ya wengineo

    1. Naanza ona mikasa, yawezaleta balaa, Viongozi wengi tasa, kwa hoja zisizo zaa, Hasa kwa Wana siasa, wao ni kama tabia, Wajifanya ni matasa, wafanyacho wakijua. 2. Ni kutafuta majanga, kuvunja mzinga nyuki hi, Mambo tunayoyalenga, mbele yataleta chuki, Badala sisi kujenga, wengi twatafuta...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hoja kuu zinazohitaji majibu kwenye mkataba huu wa bandari,hizi hapa.

    BAADHI YA HOJA KUU ZINAZOHITAJI MAJIBU KWENYE MKATABA WA BANDARI NI HIZI HAPA 1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba,Je hakuna vitu vinavyotekelezeka,ndio maana mnaita makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hoja za Uislam ni hoja binafsi,tunachotaka bandari yetu isiuzwe,full stop.

    Kwa hakika hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo zilizotolewa katika suala la mkataba danganyifu wa bandari ni hoja binafsi ambazo hazina mashiko katika suala la uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Pia Uzanzibari, Utanganyika ni hoja binafsi, tunachotaka bandari yetu isiuzwe,full stop kama...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina achambua hoja 13 Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023 1. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
  8. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ipelekwe Hoja Binafsi Bungeni- Wananchi wote waridhike

    Nashauri ipelekwe Hoja Binafsi Bungeni(kwa mujibu wa taratibu za Bunge) -Bunge libatilishe Azimio lile na kisha, Makubaliano yaangaliwe upya pale ambapo panapigiwa kelele na wananchi hasa kipengere cha 23(4), na pengine pia parekebishwe na wananchi waridhike kuwa Sasa makubaliano yapo sawa...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama unandhani hoja za Watanzania ni Makelele basi endelea kuziba Masikio

    Mara kadhaa nimemsikia Rais akijibu hoja nzito kwa vijembe na taarabu. Watu wazima na akíli zao wanajipanga kutoa hoja afu wewe bila staha yoyote unasema ni Makelele. Aendelele kushapaza shingo na hao wanaompa kichwa mda ukiwadia hatawaona tena. Tanzania ni ya Watanzania siyo ya Rais Samia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

    Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania. Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge Watoa Hoja Kuishauri Serikali Juu ya Wakulima Kuuza Mazao Nje ya Nchi

    WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na wafanyabiashara kutoa hoja ya kuishauri Serikali namna nzuri ya kuwasaidia wakulima wanaouza mazao...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali isilete tena hoja za mikataba kwa wananchi

    Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua? Mpinzani hata huyo...
  13. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Sikubaliani na hoja ya kwamba walimu wengi ni failure wa kidato cha nne au sita

    Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu. Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka. Ninachoona ni...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

    Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari. Namfahamu Tundu Antipass Lissu kama mwanasheria mzuri sana. Nimeshiriki nae kwenye kazi kadhaa hivyo...
  15. albab

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum (Feitoto) alikua na hoja

    kama tuliambiwa Nabi atakuepo mpaka 2024 lakini Leo hiii NABI na uongozo wa Yanga unathibitisha mkataba ulikua mwaka 1. Napata ukakasi ishu ya FEITOTO ALIKUA na Hoja, Kuna kitu hakikua Sawa ndo mana dogo akaamua kukiamsha. Kuondoka Kwa wachezaji (Sina uhakika) na bench la ufundi kuna kitu...
  16. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya Hoja ITV: Kama wanaochangia ndiyo wanavyuo wetu acheni tu DP World wainunue hata Tanzania yote!

    95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra. Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa nakukubali kama nawe unavyonikubali hapa JF, ila Hoja zako za leo hazina Ushawishi wa Kuaminika

    Nakuomba tu Mzee wangu achana na hao Wanaokudanganya na Kukutumia ili Kumtikisa Rais Samia na Serikali yake kwani ukishayafanikisha Malengo yao Watakutupa hovyo kama zitupwavyo Condoms zilizokwisha tumika. 75% ya Hoja zako ulizozitoa Leo zinajichanganya mno Kimafikirio kiasi kwamba Mimi mwenye...
  19. UNDENIABLE

    JamiiForums Tanzania Hivi, wabunge walikuwa wanamshambulia Mbowe na kuwatishia waliotoa hoja au walikuwa wanawaelemisha watanzania faida ya hiyo IGA na Dubai?

    Kwa maoni yangu. Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano. Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali kali watanzania waliokuwa wanatoa hoja zao kuhusu makubaliano. Ni kama vile wao ndio watanzania...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Padre Kitima, hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi sijaona kipengele kibaya kwenye mkataba

    Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa. Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
Back
Top Bottom