hoja

  1. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kutaka kuzuia mafuriko ya Tsunami kwa udongo ni kushindana na kisichowezekana, kamati ya muungano iunganushe na hoja za Lissu

    Nyakati huja na nyakati hupita Na nyakati ambazo huja na kupita, zingine huja kwa namna yake na changamoto zake, na zinapokuja, huja ili zibadilishe kitu na ama kuharibu kabisa, Kikawaida, Ni mjinga tu ambaye hudhani Dunia haina Changamoto na kwamba anaweza kukaa maisha yake yote bila kupitia...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

    Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement? Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri...
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Watu wa CCM wakitoa hoja za kupinga Muungano wanashangilia, nongwa ni pale anapotoa hoja Mpinzani hata bubu atapayuka. Unafiki Mtupu

    Ni mambo ya ajabu hiki chama cha kuendekeza ufisadi na uongo. Kuna kasoro nyingi sana za muungano, lakini jambo la ajabu ni kuwa kasoro hizo zikizungumzwa na kiongozi wa CCM basi anashangiliwa hadi wabunge wanataka kupanda juu ya meza. Ila hoja hizohizo zikiongewa na Mbowe au Lissu mpaka kina...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

    1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi. 2. Lisu anasema Rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu. 3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa CCM kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia CCM 2025. Badala ya kukaa kimya Rais...
  6. Kkimondoa

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ally Happy naye ashindwa kumjibu Lissu, apuyanga bila kujibu hoja

    Akiwa mkoani Iringa, Ali Hapi alimjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kufuatia kauli yake ya kuwa Rais Samia hana haki ya kutoa maamuzi ya kinachoendelea bara kwa kuwa yeye ni Mzanzibar. Hapi alidokeza kwamba kwa kuwa mchakato wa kuhalalisha mfumo wa vyama vingi pamoja na mapinduzi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya kusimamisha vita Gaza, hati hati kukwama; Israel, HAMAS yupi ana hoja?

    1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!" 2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk. 3. Kuna azimio UNSC kutaka vita hivi kusimamishwa kabisa sasa na mateka wote kuachiliwa. 4. Raia, wahanga wa vita...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 2)

    Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP): "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

    Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji: Kuepuka andiko hili kuwa refu mno na bila kuathiri ufasaha wake, ninalikata andiko hili kuwa katika sehemu mbili; zikiwa ni nyuzi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia naomba kutoa hoja ili tujadili suala la dharura kuhusu mvua zinazoendelea nchini

    Mh Spika, nasimama kwa kanuni inayoruhusu mbunge kuomba bunge lisitishe shghuli zake na kujadili jambo la dharura linaloendelea nchini. Mh Spika, mvua zinazoendelea nchini zimesababisha madhara makubwa kwa wananchi ambapo takwimu za leo zinaonyesha watu 160 wamepoteza maisha huku nyumba kws...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tunakaribisha tofauti za hoja na maoni kuhusu chama chetu CHADEMA kwani hii ni fursa kubwa ya chama kukua na uthibitisho wa demokrasia komavu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali

    MBUNGE BAHATI NDINGO Afikisha Hoja ya Dharura Bungeni - Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. BAHATI KENNETH NDINGO leo tarehe 30 Aprili, 2024 amefikisha Hoja ya Dharura Bungeni mbele ya Spika kutokana na...
  14. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia Mpaka Mwisho: Hakika hatuhitaji watu kama D. Sanga kwenye Serikali na nchi yetu tunahitaji watu wenye uwezo wa Kujibu hoja na kutengeneza hoja

    Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda. Kauli yake...
  15. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

    Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo.. Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara.. Mbona amekimbia? Mbona mwenzake wa Zanzibar...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika anayempinga Lissu kwenye hoja za muungano ana matatizo

    Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika? Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari? Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mbali na uongozi, mashabiki wa Simba nao ni wa kulamiwa kwani walikuwa hawataki kukubali timu yao ni mbovu na hoja yao ikawa ni Yanga wananunu mechi

    Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser...
  18. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Wito: Mdahalo uitishwe baina ya Lissu na viongozi wa CCM kuhusu hoja ya 'ubaguzi wa kimuungano'

    Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika yenye kuathiri mustakabali wa maisha ya watanganyika moja kwa moja. Lissu ametoa hoja zake akijificha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Salaam, Shalom. Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo. Cha kushangaza wanaibuka viongozi tena wenye hadhi ya juu kabisa kimamlaka na kumjibu TUNDU Lissu kiujumla jumla tu. Anauliza...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wawaeleze Watanzania bara/ Watanganyika sababu na faida za muungano kwa hoja nzito

    Raia wengi wa Tanzania bara au kama wengine wanavypenda kujiita Watanganyika ni kama vile hawaelewi faida za muungano, hawafahamu wananufaika vipi na huu muungano. Kila mara ambapo hoja za muungano zinaibuliwa wanachama wengi wa chama tawala huwa wanapenda kusema tutaulinda muungano na kurudia...
Back
Top Bottom