hoja

  1. W

    JamiiForums Tanzania Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  2. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuunda hoja na kudai hoja pasipo kuwa na hoja.

    Habari za Leo Waungwana. Nawasilisha hoja yangu kama ifuatavyo. Hivi sasa kila mtu anadai hoja, anasema wengine hawana hoja, ukitoa maoni unaambiwa hauna hoja. Binafsi sielewi kwamba wanao dai hoja wanamaanisha au wanapuuza yaliyosemwa kwa excuse ya kukosa hoja? katika namna ya pande mbili...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tunawaomba wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina, kifungu kwa kifungu ili tujue ukweli

    Jana Mhe. Mpina alifukuzwa Bungeni na kutakiwa kutohudhuria mikutano 15 ya Bunge. Tulisoma HOJA zake lakini uamuzi ukafikiwa kuwa afukuzwe. Kwa kuwa nchi hii inaongozwa kwa kufuata UTAWALA BORA, pia inafuata sheria, kanuni na taratibu hivyo ninaomba Wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina...
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

    Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila na Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaibeba CHADEMA katika Hoja zote za Masuala ya Uchumi.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya...
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Wengi wanamshambulia Makonda kwa mihemko na chuki, hawana hoja

    Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu. Inapelekea Makonda hata akifanya kitu kidogo tu basi makelele yanakuwa mengi, lakini wengi wao wanafanya hivyo kwa hisia na mihemko tu...
  8. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mpina zina mashiko

    Mpina anapotaka kutoa hoja zake/michango Bungeni huwa anajipanga sana na anautoa kwa ufasaha na kwa mtiririko ambao hata msilizaji utaupenda. Juzi alipochangia hoja kwenye Wizara ya Viwanda akisema kuwa kama tumesamehe kodi kwenye eneo fulani basi ni budi mwaka unaofuata ukaja na na majibu...
  10. cacutee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

    Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya. Let's get Back to our business... Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel Ten TV, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa 9:30 alasiri. Hoja ya leo ni...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Zitto ni muoga, akiona vita anayokwenda kuingia atashindwa hatii mguu

    Ikiwi Zitto ataamua kuacha kugombea Ubunge Kigomo Mjini Kuna vita kubwa ya nani atakuwa mrithi wake, huku ikionekanwa kuwa tayari Zitto ameshamuanda kipenzi chake.
  13. Ncha Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

    Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa. Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hoja za Tundu Lissu kuhusu Muungano na ardhi ya Tanzania kugawiwa Waarabu

    Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa. Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya Hekta. Kutokana na hoja hizo, naomba watu wa serikali watoe majibu ya kina na ya kweli, vinginevyo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hoja: Sababu zipi zinaipeleka ripoti ya CAG Bungeni ikiwa hakuna linalofanyika?

    Ikiwa Bunge linajadili taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG), kisha hakuna azimio linalotekelezwa? Ni sababu zipi kisheria na Kikatiba zinaruhusu ripoti hiyo kusomwa Bungeni? Je Bunge linapitisha Bajeti wasiyoweza kusimamia na kuamua matumizi yake au lina kazi gani haswa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Hoja fikirishi: zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?

    Mfano.. zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa? Tundu lissu amekuwa sehemu ya Tishio kwa Hoja zake na misimamo yake Amekuwa Mkweli, amekuwa sehemu ya kusimamia anachokiamini Pesa zinazoitwa za mama Abdulah zikimwaga ufipa kama zilizo habari za ndani za...
  17. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Madai na hoja za muungano, huja kipindi tukiwa na Viongozi dhaifu?

    Inaweza kuwa hoja yangu ikaibua hisia tofauti tofauti Lakini najaribu kurudisha akili zangu nyuma, Hoja na malalamiko kuhusu muungano wetu ni kama zimekuwa zikiibuka pindi tunapokuwa na viongozi wapole wapole! Mbona haikuwa hivi kwa Rais Chuma cha pua Hayati John Magufuli Hii inamaanisha...
  18. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kutaka kuzuia mafuriko ya Tsunami kwa udongo ni kushindana na kisichowezekana, kamati ya muungano iunganushe na hoja za Lissu

    Nyakati huja na nyakati hupita Na nyakati ambazo huja na kupita, zingine huja kwa namna yake na changamoto zake, na zinapokuja, huja ili zibadilishe kitu na ama kuharibu kabisa, Kikawaida, Ni mjinga tu ambaye hudhani Dunia haina Changamoto na kwamba anaweza kukaa maisha yake yote bila kupitia...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

    Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement? Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri...
Back
Top Bottom