hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Muziki Nchini: Maoni ya Wadau juu ya nini kifanyike ili kuongeza Tija, Mvuto na Kupunguza Malalamiko

    Mnamo Aprili 29 kuamkia April 30 mwaka 2023 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wakishirikiana na Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo waliandaa tuzo rasmi kwa ajili ya kuwapongeza wanamuziki wa Tanzania (Tanzania Music Awards). Baadhi ya walifanikiwa kunyakua tuzo hizo kwenye vipengele...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hizi taarifa za ndege kushindwa kutua Dodoma kutokana na Taa inalenga kuieleza nini Dunia? Hakuna tender inatengenezewa mazingira?

    Ndege inapoondoka Dar es Salaam inajulikana for sure itatua Dodoma muda gani na miundombinu ya uwanja inajulikana. Lakini Kwa tuliosoma Cuba tunaposikia ndege ya Yanga yashindwa kutua, ndege ya kiongozi mkubwa yashindwa kutua lakini ndege zenye abiria wasio na attention Kwa jamii hazikwami...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi drones za Ukraine zimekua kero kwa Warusi, macho angani muda wote

    Hapa wanasema walifaulu kuzuia mashambulizi ya drones kumi zikageuza japo wameshusha mbili. ============== The Russian-installed governor of Sevastopol on the Crimean Peninsula, Mikhail Razvozhayev, said Sunday that a series of Ukrainian drone strikes had been repelled overnight...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta hizi bidhaa

    Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Poleni kwa majukumu, naomba kufahamishwa ni wapi nitapata hizi taa kwa Dar es Salaam.
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye hizi daladala natamanigi kunyofoa ways za redio

    Kelele za ajabu sana. Unapanda dalafala una stress zako unakuta mziki sauti juu. Au asb unakuta station**** wanapiga story kutoka vichwani mwao, mawazo Yao idea zao hazina logic yoyote. Kuna dalafala Moja imeandikwa pale ndani juu kwamba...nanukuu...''SAMAHANI ABIRIA SAUTI HAIPUNGUI" Mwisho wa...
  6. JamiiForums Tanzania Msimu ujao 2023/2024 Simba tunahitaji sajili hizi ili tuwe imara

    Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao, Binafsi napendekeza 1. Feisal Salum (feitoto) 2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal 3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal. Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi vijana wengi mnamchukia Mungu, mmegombana nae?

    Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno. Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu...
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO: Pamoja na mvua kunyesha bado maji hayatoshi kuzalisha umeme wa uhakika

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini bado hazijasaidia kutoa kiwango cha juu cha maji kinachoweza kupata umeme wa uhakika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Shirika hilo Elihuruma Ngowi, wamekagua mabwawa mbalimbali ya...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo kutoka BBC

    Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

    Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana kwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sasa hizi selection za kidato cha tano (form five) na vyuo zitatoka mwezi wa sita au?

    Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao. Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zilizovuma sana enzi zake lakini kwa sasa zimebaki Historia

    1. Biashara ya kuuza vocha za simu; 2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu; 3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha; 4. Biashara ya Disco vumbi; 5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS); 6. Kusoma mita za Umeme (japo hii haikuwa biashara bali ajira) 7. Biashara ya kuchezesha Joyce Wowowo; Ongeza...
  13. JamiiForums Tanzania Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

    1. Kukata kucha siku ya Alhamisi. 2. Kutokula kwa kutumia kijiko. 3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti. 4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu. 5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini. 6...
  14. JamiiForums Tanzania Dini hizi ndo zitakazotupeleka Motoni tena kilahisi fuatilia Mahojiano yangu na huyu Shekhe

    Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo. ... Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila...
  15. JamiiForums Tanzania Nani anayeweza kutegua kitendawili kwenye hizi picha?

    Hizi ni baadhi ya picha (optical illusion) zilizoenda viral sana. Unaweza ukafafanua utata wake?
  16. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi za sensa ya 2022 maisha lazima kilio cha ugumu wa maisha ni jambo lisilo epukika

    Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
  17. JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kushinda Jumamosi ni hizi hapa. Yanga acheni Polimi Lai!!

    Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo. 1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa. 2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani...
  18. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

    Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni udaktari Kilimo na uvuvi Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya taa hizi

    Wadau hivi ni kweli taa hizi za mbu zina uwezo wa kuvuta na nzi. Vipi bei yake halali ni Tsh ngapi
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mvua hizi ambazo zinanyesha kwa kuchelewa, zinafaa kupanda? TMA tusaidieni kama zitaendelea na kuwezesha kuvuna

    Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka TMA, Je, mkulima anaweza kupanda. Ushauri please
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…