Vipi tunaleta fujo na hii TISS? Kwanini unazifukua hizi post za TISS?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,196
2,890
Hii ni makosa. TISS inakuwa trivialized kwa kuitajataja bila sababu.
Hawa ni state police,wanalinda viongozi,so,what's troubling you?
Truly I am amazed. Ni kitu gani kinasababisha hii flurry ya posting za TISS?
 
Hii ni makosa. TISS inakuwa trivialized kwa kuitajataja bila sababu.
Hawa ni state police,wanalinda viongozi,so,what's troubling you?
Truly I am amazed. Ni kitu kinasababisha hii flurry ya posting za TISS?
Tanzania kuna vitu vya ajabu... Wenzetu ambao wameendelea zaidi na wanafanya upelelezi hadi kupandikiza watu wao na kupindua serikali na kupachika vibaraka wao hakuna cha ajabu kutaja taja sijui CIA sijui M15. Shida sio kutajwa, effectiveness ndilo jambo la msingi. TISS ikiwa effective itajwe, isitajwe itatenda kama inavyotakiwa
 
Tanzania kuna vitu vya ajabu... Wenzetu ambao wameendelea zaidi na wanafanya uchunguzi hadi kupandikiza watu wao na kupindua serikali na kupachika vibaraka wao hakuja cha ajabu kutaja taja sijui CIA sijui M15. Shida sio kutajwa, effectiveness ndilo jambo la msingi. TISS ikiwa effevtive itajwe, isitajwe itatenda kama inavyotakiwa
Siyo kosa kuitaja TISS. Kuitaja au kutoitaja hakuwezi kuathiri kazi zake.
 
Ila nchi hii imejaa Mazuzu.
Siyo mazuzu. Wale watu wana uwezo wa kusema hatutaki TISS itajwe hapo JF.
Umechizika LEO. Ghafla tu post TISS zimekuwa nyingi. I suspect ni kwa ajili ya ile mysterious burning of a woman in Kibaha.
Mi siyo mshabiki wa TISS. Naandika post kuwapinga TISS,hapa au Facebook,watu wanajibu tu,"Ah,huyu dish limeyumba." Halafu baadaye watu wanalalamika,"Ndugu yangu amepotea, Walikuja watu hapa na landrover nyeupe wamemchukua."
 
Hii ni makosa. TISS inakuwa trivialized kwa kuitajataja bila sababu.
Hawa ni state police,wanalinda viongozi,so,what's troubling you?
Truly I am amazed. Ni kitu kinasababisha hii flurry ya posting za TISS?
Tiss ndio baba Mungu wako wa mbinguni?
 
Hii ni makosa. TISS inakuwa trivialized kwa kuitajataja bila sababu.
Hawa ni state police,wanalinda viongozi,so,what's troubling you?
Truly I am amazed. Ni kitu gani kinasababisha hii flurry ya posting za TISS?
They are not fulfilling their duties as enshrined in the constitution!!
 
Back
Top Bottom