hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi, hata ingekuwa wewe….

    Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kujiona wewe ni mungu, ni mkubwa sana. Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile. Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu yako ni tofauti kabisa na damu za watu wengine. Labda una damu ya rangi ya njano. Unaweza ukajiona...
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Niwatakie Usiku mwema "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia" Kutoka 20:4
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Upi wimbo bora wa Gospel kwa kati ya hizi nne?

    Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya jamii, Zabron Singer, Shangwe Voices, Agape Gospel Band, pamoja na The Survivors Gospel Choir...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

    Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa.. Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne, ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia.. Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu...
  6. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Natafuta betri hizi

    Wakuu nani anaweza kunisababishia nikajua bei ya betri hizi. Na nazitolea wapi kabla sijaingia mzigoni mwenyewe huko kariakoo. Nb: niko mbagala muda huu
  7. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu zangu kuu tano za kwa nini sitampigia kura Samia Suluhu Hassan kama atasimamishwa na chama chake

    Niende moja kwa moja. Ikiwa CCM watamsimamisha Samia kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu 2025 sitampigia kura yangu kwa sababu zifuatazo. 1. Matukio ya utekaji yanaongezeka siku hadi siku. Sijui anajisikiaje kuachanisha familia za watu, kuwaacha watoto bila wazazi kwa kuteka na kupoteza watu. Ni...
  8. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Harmonize ataimba nyimbo zote ila hizi ni hatari

    Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

    Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha! Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya...
  10. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Kigamboni ninaweza kupata hizi vegetables

    Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yooo😉😘😘😘 Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni. Thank youuu😘
  11. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania TRA kudhamini Ndondo CUP, Pesa hizi wanatoa wapi?

    Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza? TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu? Sijasema ndondo cup ki upuuzi lakini Mil 40 zinajenga zahanati 1 kijijini? Kazi ya TRA ni moja tuu, kukusanya mapato na...
  12. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Wazazi siku hizi wamekuaje (cold blood)

    Uko kazini unampigia simu mzazi mtoto wako anaumwa mzazi atakwambia tafuta boda umpakie aje nyumbani . Unapambana unamfikisha hadi nyumbani mtoto yuko hoi badala yake wewe (mwl) ndiye unaonekana mwenye hofu na afya ya mtoto mzazi ni kumfokea mgonjwa hadi, dah unaamua kuaga na maneno ya kawaida...
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hizi fasheni zinafanya vijana wetu wawe wendawazimu!

    sasa hapo kavaa kanzu na soksi yenye mkandaaa??? au imekaaje hii?
  14. jangos

    JamiiForums Tanzania Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO kwa mliofurumushwa katika Wizara zenu Wiki Tatu Mbili hizi

    Tafadhali hatutaki sasa Kuwaona mkiwa Bungeni hadi pale Kijiwe Majungu chenu Mbezi Beach ( eneo nalihifadhi ) mnaanza kumpiga Majungu Mtu ambaye Kutwa mlikuwa mnamsifu na kumpamba kwa Nguvu zenu zote mlipokuwa Madarakani sawa? Na nasikia Gwiji lingine litaondoka mwisho wa mwaka au mapema sana...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Hizi teua-tangua za awamu ya sita zinaonesha ukosefu wa umakini katika maamuzi ya kitaifa

    Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena. Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko. Ninapendekeza teuzi na tanguzi za...
  17. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hizi message za Kizimkazi vipi tena, mbona kama kero sasa?

    Wiki hii zinaingia tu kila siku Angalie wenyewe
  18. Sexer

    JamiiForums Tanzania Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

    wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
  19. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli kwenye dini ni sawa na utapeli kwenye shule hizi za english medium, wazazi stukeni dunia imebadilika,

    Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu, Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji, Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
Back
Top Bottom