Nakumbuka miaka hiyo Aggrey Marealle nilikuwa namuona sana kwenye media akiwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya TBL. Yupo wapi siku hizi huyu ndugu kwa anayefahamu.
Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana.
Uzi huu hapa...
Naombeni wenye ujuzi wa haya mambo kwa mfano umekopa kwenye hizi micro credit wakawa wanakata hela Moja kwa Moja bank je ukiamua kubadilisha mshahara uuchukulie bank nyingine itakuwa umejiondoa kwenye hako ka mkataba?
Wafanya biashara wengi hawajui compliances wanatakiwa kuzifuata kila mwaka ili biashara zao zisipigwe fine.
Nimekuandalia e-book inaitwa "Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ kila mwaka"
Ni FREE e-book.
Nitumie neno e-book kupitia Whatsapp kwa namba hizi
0678131068...
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuzidi kushika kasi, kazi nyingi zilizokuwa zina muhitaji binadamu kwa kiasi kikubwa zinaenda kufa na kupotea kabisa.
Kwa wale wanaopenda kuajiriwa kazi zifuatazo zinaenda kufanywa au haziwezi kufanywa kwa kutumia akili mnemba (AI).
Ukiangalia kwa...
Mliopo South Africa hembu fuatilieni hizi details kama zina ukweli.
Kwa msiomjua huyu jamaa mi Mrundi ashafanya kazi na wasanii wa Tanzania ni Promoter wa Muziki, ameanza kukemea hali inayoendelea tanzania kwasasa kwa takriban week chache zilizopita, na ashawahi kuishi Tanzania na ana...
Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password.
Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe kwa lengo la kumtengenezea haswa kioo,anapofika kwa fundi mwanaume huomba nywila kwa kisingizio cha...
Wewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya.
Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu ukalala usingizi.
Mungu huyu wa mbinguni tunamuomba kila siku akutendee adhabu kwa kiwango Cha...
Wakuu.
Tesla leo tarehe 7 October wamezindua magari mawili, Model 3 na Model Y Standards.
Kwa lugha nyepesi, hizi ni base/cheaper versions za Model 3 na Model Y zikiwa zimepoteza baadhi ya features kutoka kwa wakubwa zao.
Mbali na kuleta Standars, Tesla pia amebadirisha naming ya trims za...
Wakuu. Leo kuna list hapa ya baadhinya products zilizovunja record ya mauzo Duniani kutokea kutengenezwa hadi leo.
1. Magari - Toyota Corolla (50 M+)
2. Simu - Nokia 1100 (250 M+)
3. Game console - PlayStation 2 (160 M+ units)
4. Video game - Minecraft (300 M+)
5. Kitabu - Biblia (billions...
1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa.
A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana.
B. Kuna matukio ya kitaifa yatakayofwatana mfululizo kwenye wiki la mwisho la October na wiki la mwanzo...
Habarini,
Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae.
Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili.
Taarifa hizo ni hizi hapa;
1. Jina la Biashara
Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa.
2. Address ya...
Naona humu kuna watu wanapambana kudownload VPN ili waingie Jf kusapoti na kupigia debe wale walio ipiga pini, yaani wandeleze uchawa wao hata kwa VPN.
Hizi haziwezi kuwa akili zakawaida, yaani kwa normal akili ni jambo lisilo wezekana aisee.Kwamba mtu ananinyima uhuru wa kujieleza ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.