historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Historia & Shujaa: Dedan Kimathi, Afrika na Uafrika Vol. 1

    Alizaliwa, akapambana na kuuliwa kikatili, tofauti na wengine, yeye hata nchi yake ilipanga kufutilia mbali historia yake na kumtambua. Marehem akumbukwe kwa mazuri bwana. Hata anapopumzika ajiskie kweli alifanya kitu. Hii ni imani yangu mimi muafrika, kama hyukubali pole sana. Awamu mbili za...
  2. JamiiForums Tanzania HISTORIA: Josiah Mwangi Kariuki, Afrika na Uafrika VOL 1

    Josiah Mwangi Kariuki, almaarufu kama J.M Kariuki. Mwanaharakati na mwanasiasa na maarufu, aliyekaa gerezani kama mwanachama wa Mau Mau, kundi ambalo lilikuwa limepigania uhuru wa Kenya mnamo 1963. Aliyechaguliwa kwenye bunge la Kenya na kuwa mtu muhimu kwa Rais wa Kenya. Mtu mwenye chachu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Yafahamu magonjwa 20 ya mlipuko mabaya zaidi katika historia ya dunia

    Awali ya yote napenda kutoa pole nyingi kwa Watz walioathirika na hili gonjwa kwa namna moja ama nyingine huku wakiendelea kupambana na Ugonjwa wa Corona kila mtu kwa staili yake tukiwa tumepoteza mwelekeo hasa baada ya wataalamu na wanasiasa nchini kutofautiana katika mbinu za kukabiliana na...
  4. JamiiForums Tanzania Historia: Chuo Kikuu cha Timbuktu, Afrika na uafrika vol 1

    Miaka ya 2000, msanii wa mtindo wa Hiphop kutoka Marekani #Nas alitamba kwa nyimbo ya i can. Nyimbo ambayo iliimbwa na inaimbwa na wengi pale tu wanapositia mdundo au kuskia kiitikio chake kitamu. Dakika ya 2 sek 42 anaanza kuzungumzia urithi wa Afrika. Hakuacha kuitaja timbuktu kama sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania Historia: Chuo kikuu cha Timbuktu, Afrika na Uafrika vol 1

    Miaka ya 2000, msanii wa mtindo wa Hiphop kutoka Marekani #Nas alitamba kwa nyimbo ya i can. Nyimbo ambayo iliimbwa na inaimbwa na wengi pale tu wanapositia mdundo au kuskia kiitikio chake kitamu. Dakika ya 2 sek 42 anaanza kuzungumzia urithi wa Afrika. Hakuacha kuitaja timbuktu kama sehemu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa wanasayansi na Serikali za Duniani hii ni wa kulaumiwa kuhusu pandemics. Hawakujifunza kutokana na historia ya Spanish flu!.

    Hii inaonyesha wazi kuwa dunia yetu tu wazembe na tunastahili tunachokipata, ingawa watoto wetu wadogo hawana makosa ya madhira wanayoyapata. Soma hii excerpt from CDC "The 1918 H1N1 flu virus caused the deadliest pandemic of the 20th century. To better understand this deadly virus, an expert...
  7. JamiiForums Tanzania Jifunze Kichagga (Vunjo) & na historia ya Wanyiramba

    Salam, Lugha hii ya kichagga (vunjo) ni katika daraja la mwanzo (elementary level). Hongera kwa waandishi. Lengo ni kusambaza ujuzi tu. Nyie wanyiramba kumbe ni watu wa kutoka Sudan?? Stay safe and enjoy!
  8. JamiiForums Tanzania Historia katika picha hivi ndivyo dikteta Kwame Nkurumah alivyopinduliwa Ghana 1966

    Hio ilikuwa mwaka 1966 baada ya waghana kuchoshwa na udikteta wa kwame nkurumah ambaye alijifanya Mungu mtu alikuwa hataki kukosolewa alipinduliwa akaenda kuishi uhamishoni guinea ambako alifia huko
  9. JamiiForums Tanzania Once bitten, twice shy...je historia itajirudia?

    Historia ni kumbukumbu, historia ni mwalimu, historia haidanganyi, historia hutahadharisha na historia hutoa funzo na hujirudia baada ya muda fulani na katika nyakati tofauti. Flashback: Mwaka 2011 dawa ya ajabu ilidaiwa kupatikana. Hii dawa ilidaiwa kutibu si tu ugonjwa moja, hapana, dawa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai asipokuwa makini bunge " lake" linaweza kuweka Historia hasi ya ajabu kabisa duniani

    Tujikumbushe; 1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge. 2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari 3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua 4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua 5. Wabunge zaidi ya 10...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kupata historia sahihi ya matumizi ya pesa zako? Tumia njia hii

    Bila shaka unaweza ukawa ni mmoja ya watu ambao ulishawahi kufanya miamala na ukahitaji kupata historia ya miamala yako yote kwenye mpangilio mzuri, ili uweze kubajeti pesa zako au kufahamu vizuri matumizi yako. Lakini changamoto ni kwamba kuna ugumu katika kupata historia ya matumizi yako hasa...
  12. JamiiForums Tanzania Hebu tujikumbushe historia kidogo

    TUMETOKA MBALI WAKUU
  13. JamiiForums Tanzania Je, waijua Historia ya Gwiji wa Soka Ronaldinho Gaucho?

    Mwaka 1983 Brazil waliingia katika msiba mzito kisoka pale walipompoteza gwiji wao Manuel Francisco dos Santos almaarufu kwa jina la Garincha. Garincha ni moja ya kizazi cha dhahabu cha soka la Brazil kilichoibuka mwishoni mwa miaka ya 1950s akiingoza vyema nchi hiyo kunyakua ubingwa wa dunia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara awa lulu mkoani Mara aweka historia ya kupokea wanachama zaidi ys 1400 kutoka CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

    Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani. Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane historia ya influenza /corona/ kirusi cha mafua duniani

    Ugonjwa huu uliwai kuibuka duniani mwaka 1918 ambapo uliua watu takribani milioni 50 duniani, ulikuwa unaitwa Flu Influenza epidemiki H1 N1 ambapo wanasema ulianzia Uhispania na China baadaye kuenea Ulaya, Asia, Amerika na afrika. Historia haisemi wazi wazi kuwa vita ya kwanza ilisitiswa na...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zangu: Majasusi wa KGB walivyowafanya magaidi wa Hezbollah waliowateka wanadiplomasia wao wanne

    Picha za video za hivi karibuni zilizokuwa zikionesha jinsi wanahabari wa kimarekani bwana James Foley pamoja na Steven sotloff wakikatwa vichwa na magaidi wa ISIS inanikumbusha stori ambayo ilitokea nchini Lebanon mnamo mwaka 1985. Mnamo mwezi wa tisa, tarehe 30, mwaka 1985, kundi la watu...
  17. JamiiForums Tanzania Wito: CJ Prof. Ibrahim Juma, make a historia kwa Mahakama kutimiza wajibu wake kulinda haki. Tumia Suo Moto kui-check Serikali pia ruhusu Pro Bono

    Wanabodi Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo. Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Magonjwa hatari zaidi yalioua watu wengi katika historia ya dunia kuanzia 167AD -2020

    ANTONINE PLAGUE (165 AD) daeth toll: 5 million cause: Unknown Location: Rome ( uliambukizwa na askari ya waliofika Rome kutoka mesopotania- 165AD) maeneo yaliyo athirika zaidi Greece, egypt, Asia, PLAGUE OF JUSTINIAN (541-542) Death Toll: 25 million Cause: Bubonic Plague Location...
  19. JamiiForums Tanzania Mbatia awashukia CHADEMA, adai ni wabinafsi na wasiojua historia ya mageuzi nchini! Adai wakiendelea kumwita msaliti atamwaga siri zao

    Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia ametoa tuhuma kali kwa chama cha CHADEMA kwa kudai kuwa hawajui historia ya mageuzi nchini ndio maana wanadhani mwanachama wa CHADEMA akihamia NCCR-Mageuzi ni usaliti bila kujua kuwa viongozi wengi ndani ya CHADEMA walikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani historia inawahukumu

    Leo asubuhi nilipoamka nilikutana na Tweet moja ya Mh. Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania. Twitter iliandikwa hivi, ‘’ What a wonderful bird's eye view of our beautiful Mount Kilimanjaro, I was able to capture today February 12th, 2020. I was on a TGFA flight from Nairobi to Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…