Hebu tujikumbushe historia kidogo

wazanaki

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
1,092
804
1587385260228.jpeg

TUMETOKA MBALI WAKUU
 
haki ya mama walifanya kwa wanyonge waje sasa hivi na huu utopolo
 
Hata aliyebebwa ni Mpumbavu.

Mtu mwenye akili huwezi kumdhalilisha hivyo binadamu mwenzio.

Wote wapumbavu.
 
Hata aliyebebwa ni Mpumbavu.

Mtu mwenye akili huwezi kumdhalilisha hivyo binadamu mwenzio.

Wote wapumbavu.
Think twice ndugu.hao walikuwa watawala.mbona magu akipita barabarani barabara inafungwa na hakuna anayekatiza.same applied
 
Mababu zetu walikuwa maboya sana ndo maana mpaka sasa ngozi nyeupe wanatuzarau
Sisi ndiyo maboya zaidi ndiyo maana tunanyanyaswa sasa hivi na ngozi nyeusi wenzetu na hata habari hatuna.Afadhali babu zetu walinyanyaswa na wakawa wanajua kuwa wananyanyaswa ila sasa hivi tunanyanyaswa na ngozi nyeusi wenzetu ila hata hatujui kuwa tunanyanyaswa
 
Hivi walishindwa nini kumshusha hapo wamtandike na huo mshi kichwani afe??..

wapo waliofanya hivo,nilisoma sehemu mbalimbali kwamba wazungu wengi waliuliwa na watumwa, na kuna hadi stori maharufu mtumwa alichakata mke wa Mzungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom