historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson January Makamba ameandika historia. Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru. Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri Je, ndoto yake ya kuwa Rais...
  2. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea

    January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea January Makamba ameandika historia. Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru. Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri Je, ndoto yake ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  4. JamiiForums Tanzania Ghetto Kids kuweka historia mpya fainali za Britain's Got Talent?

    Kundi hilo linaloundwa na Watoto wenye vipaji vya kucheza na kuimba kutoka #Uganda limefanikiwa kuingia Fainali za mashindano ya vipaji ya #BritainsGotTalent ambayo kilele chake ni Juni 4, 2023. Waliofanikiwa kuingia Fainali ni #MusaMotha, Amy Lou, #ViggoVenn, Olivia Lynes, #GhettoKids, Travis...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

    Wanabodi, Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania! Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya...
  6. JamiiForums Tanzania Makachero wa Mashujaa FC wabaini mauzauza uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

    Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanasoka wa kwanza katika historia ya uingereza kuipandisha timu yake kutoka madaraja ya chini kabisa mpaka daraja la juu.

    Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao. Pelly Alizaliwa Nchini Uingereza ila aliamua kuwakilisha Taifa la Wazazi wake DRC na Anacheza Katika timu...
  8. JamiiForums Tanzania Historia ya Kanisa la Kikristo la Kirumi

    Dola ya Kirumi ilikuwa ni nguvu kubwa ya kisiasa na kijeshi wakati wa siku za mwanzo za Ukristo, pamoja na mji wa Roma kama msingi wake. Kwa hiyo, kuna manufaa ya kupata ufahamu bora wa Wakristo na makanisa walioishi na kuhudumu huko Roma wakati wa karne ya kwanza AD Hebu tuchunguze kile...
  9. JamiiForums Tanzania CODEX GIGAS; Kitabu cha kale chenye historia ya ajabu

    KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu kisicho cha kawaida ambacho watu wengi wanasema ni Biblia ya Shetani. Usishtuke sana, acha tupige...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu historia ya neno "Bluetooth"

    HISTORI YA NENO BLUETOOTH. Teknolojia tunayoijua kama Bluetooth imepata jina lake kutoka kwa Harald Bluetooth, mfalme wa Viking aliyeaga dunia zaidi ya milenia moja iliyopita. Kama vile alivyounganisha vikundi vya Denmark na Norway, teknolojia ya Bluetooth inaunganisha vifaa mbalimbali vya...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Ijue Historia ya Kariakoo

    IJUE HISTORIA YA KARIAKOO(Carrier corps) Mwandishi:Saadala Muaza Utangulizi kariakoo ni jina la kata inayopatikana katika wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam Tanzania iliyo na wakazi zaidi ya 13000 waishio humo. Eneo hili ni maarufu sana nchini Tanzania kutoka na...
  12. JamiiForums Tanzania Je, tunajifunza historia ya nchi kwa manufaa?

    Habari zenu wanajamii?! Wataalamu na walimu wa historia duniani kote wanaeleza fani ya historia inamsaidia binadamu kujua alipotoka, alipo na anapoelekea. Nikitafakari hili, nawaza historia ya nchi yetu tumeitumia vipi kutuletea manufaa? Tangu babu zetu kina Mkwawa na bibi zetu wapambane na...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga kuwa mabigwa wa Ligi ya Tanzania bara na mabingwa wa kombe la shirikisho la CAF ni historia ya kipekee

  14. F

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bernard Kamilius Membe 1953-2023

    Bernard Kamilius Membe, (born 9 November 1953- Died 12 May 2023) was a Tanzanian politician. He served as a Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015.He also served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015. Early life and education He was educated at...
  15. JamiiForums Tanzania Kukamilika Ikulu Chamwino Dodoma, Rais Samia Kuandika Historia Nyingine

    Wakati uzinduzi wa Ofisi za Rais Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, ukitarajiwa kufanyika Mei 20 Mwaka huu Serikali imesema serikali imesema inajivunia mchango wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi huo, ambao utaandika historia nyingine. Rais Samia ataingia katika Historia ya Tanzania kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Kuandika Historia Kupitia Kilimo Kikubwa cha Umwagiliaji

    BONDE la Bugwema na Bonde la Suguti yaliyopo katika Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara yako kwenye bajeti ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2023/2024 iliyopitishwa na Bunge siku ya Mei 9, 2023 ili kuwezesha kilimo cha umwagiliaji kufanyika jimboni humo. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la...
  17. JamiiForums Tanzania Picha Adimu za Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    PICHA ADIMU ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Nimepokea picha kutoka kwa Mshindo Ibrahim ikimuonyesha marehemu baba yake Mzee Ibrahim Mwinyimvua Makongwa aliyepata kuwa Mwenyekiti wa TANU Iringa wakati Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961 akimuaga uwanja wa ndege wa Iringa...
  18. JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

    Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2. Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote...
  19. JamiiForums Tanzania Leo Watanzania tunaandika historia

    Salaam wakuu, BIla Shaka Leo ndio Ile siku ambayo YANGA inaenda kuandika HISTORIA kubwa katika nchi hii Kwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya KOMBE LA SHIRIKISHO na waTanzania Leo tunaenda kuwa sehemu ya HISTORIA hii. Najua kuna watu wanaumia Kwa mafanikio ambayo YANGA inaenda kuyapata Leo hii...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Biblia Ni ya ukweli kihistoria?

    Wanahistoria wa Misri na Israel kutokana na kuchimbua mabaki na kufuatilia michoro na vinginevyo wamekuta kwamba hamna uhalisia wowote kuhusu story za waisraeli kuwa watumwa Misri, kutembea jangwani miaka 40 na kupigana Vita dhidi ya miji 30 na zaidi. Ina maanisha kuwa hizi story hazina ukweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…