historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kitabu Cha Historia ya Tippu Tip Kutoka kwa Hamisi Delgado

    MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado. Nimebahatika kuingia ndani ya nyumba ya Tip Tippu Mji Mkongwe Zanzibar na nje ya hii nyumba yake ndipo lilipo kaburi lake...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania na Maadili: Shule za Sekondari Kitabu cha Mwanafunzi Kidato Cha Tano

    Kuna ajuaye yaliyomo kwenye kitabu hiki?
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Tanzania na Maadili: Kitabu Cha Mwanafunzi Kidato Cha Kwanza

    Yupo ajuaye kitabu hiki kinafundisha nini?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la PPP na Wizara ya Maji | Fuatilia ujue kwanini soon shida ya maji nchini itabaki historia

    Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watoto wako. https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Spark aliwahi kutupatia goma classic ambalo litabaki katika historia ya nyimbo bora za BF, aisee, rest in peace mzee.

    https://youtu.be/7eIfsGxlOuo?si=Amx3wcOqUoAKQ6zG
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

    https://youtu.be/hzc1zFNRBnk?si=pKH9rskM6ijwPFzv
  7. Mjusi Sharobalo

    JamiiForums Tanzania Historia ya Alexander The Great ni historia bora ya wakati wote

    Je, umewahi kusikia kuhusu kijana aliyekuwa na ndoto ya kutawala dunia na akaifanya iwe kweli Hii si hadithi ya kubuni, bali ni historia halisi ya Alexander the Great, mfalme kijana aliyetikisa dunia yote kabla hata hajafikisha miaka 33. Kutoka Macedonia hadi Egypt hadi India, alishinda vita...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wengi wa Tanzanian wamesoma nchi za magharibi. Hawajui vizuri historia ya dunia

    Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha. Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaandika Historia mpya kwenye Sekta ya Reli!

    Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla. Kiteknolojia Hatua hii inaashiria mwanzo wa kujitegemea kiteknolojia. Tanzania inaanza kujenga uwezo wa ndani wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Historia gani unayohisi kama ilipindishwa?

    Tumesoma vitu vingi kuhusu historia, tumesikia pia zikisilimuliwa ila zipo ukisikia unahisi kama kuna namna kuna kipande kilipindishwa na ukweli wake kufichwa. Mfano mie kila nikisikia kuhusu Maeneo fulani ya nchi yetu yenye vivutio kugunduliwa na wagezi huwa naona kuna uongo kabisa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoshangaa nchi za kiarabu kuungana na Marekani dhidi ya Iran hawajui historia

    Waarabu ndio waliomfukuza mtume kutoka Makka na kumfanya akimbilie Madina. Waarabu ndio waliowatesa waliosilimu na kuwapa adhabu kubwa. Kwa hivyo asili ya waarabu wakipinga uislam. Kwa hivyo usishangae nchi za uarabuni leo kushirikiana na wasiokuwa waislam. History hujirejea. Wakiristo...
  13. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Gharib Mzinga apunguze kutoa historia kwenye mechi, atangaze mechi bhana

    Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana. “ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu” “Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye wa kutoka bara awe na degree ya Historia!

    Watanzagiza wanaangamizwa na kuangamia kwa kukosa uelewa wa historia, wengi hawaelewi historia ya hii nchi tuishio, muslim wanailewa vizuri na ndiyo maana wako ahead of the game, nashauri raisi ajaye (kama hata kuna kitu kama raisi ajaye tena ambaye siyo muslim) kama siyo mwana historia basi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  16. wolverineGG

    JamiiForums Tanzania Kwanini theory za uumbaji kwa mujibu wa dini zote mbili (ukristo na uislam), zipo tofauti saana na sayansi, historia?

    Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni?? Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  19. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAi: Nimeuliza hii Ai swali dogo tu na fupi kuhusu jamiiforums ni nini nimepewa majibu yote historia nzima

    Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu. Picha ni JamiiAi Screenshot Picha ya pili 2 1re Picha ya tatu 3 Picha ya nne 4 Picha ya tano 5 picha ya sita 6 Muhimu: Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Swali: Ukweli ni Upi Kuhusu Ukumbi wa Arnautoglo na Soko la Kariakoo Katika Historia ya Baba wa Taifa?

    https://youtu.be/uQTPRpBzetA?si=cFpDdErw3IxPlVfG
Back
Top Bottom