Historia ya watu wengi ipo machoni mwao

Historia ya watu wengi ipo machoni mwao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
10,730
Reaction score
34,063
HOMKW_CW8AA_A1I.jpg

Macho hayafichi, tabasamu linaweza kufanya kazi ya kuku-brand ila macho yanabaki vile vile.

Combination ya hurka yako na historia ya maisha yako ya nyuma hubebwa na macho yako.

Makusudi yako yatafichwa na kukenua kwako ila sio macho yako.

Machungu yako yatafichwa na kuchangamka kwako ila sio macho yako.

Macho hayasemi maneno, lakini yanaeleza kila kitu.
 
Mshua wangu ni bingwa sana wa kusoma hisia za mtu kupitia macho!
Anaweza kukwambia vitu vingi kama hasira, hofu, kukata tamaa, usaliti, chuki, uwongo, mshangao, kama kuna kitu unaficha, hila n.k.

Amewahi niambia kupitia macho unaweza usoma ubongo, mwili na hisia karibu zote za binadamu. Kama kuna tukio umelipiga ukakutana na Mshua, ukaongea nae kidogo. Atajua kuna kitu kinakuzonga. Ataanza kukuuliza kuthibitisha hisia zake. Mara zote anakuwaga sahihi. 😊
 
🔥🔥
 
Back
Top Bottom