Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).
👉 Matukio ya vurugu yaliyotokea Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ni miongoni mwa matukio yaliyoacha maumivu makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Mgogoro huo ulitokana na mvutano mkubwa wa kisiasa ulioibuka baada ya matokeo ya uchaguzi kupingwa na baadhi ya wadau wa kisiasa...
Mnamo Sikukuu ya Krismasi mwaka 1971, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Wilbert Kleruu, aliuawa na mkulima Said Mwamwindi huko Isimani.
Tukio hilo lilitokea wakati wa utekelezaji wa sera za serikali za kutaifisha mashamba makubwa, baada ya kuzuka mgogoro mkali kati yao.
Mwamwindi alijisalimisha...
Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa wito kwa mmliki wa shule hiyo kumuondoa mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, kwa madai ya kwamba...
Anonymous
Thread
dar
historia
kigamboni
kigamboni dar
maadili
mkuu
mwalimu
mwalimu mkuu
shule
wazazi
FIFA World Cup 2026 imeidhinisha mgawanyo wa fedha wa dola milioni 727 (Tsh. Trilioni 1.9) kwa ajili ya mashindano hayo, ambao ni mkubwa zaidi katika historia ya michuano hiyo.
Kati ya kiasi hicho, dola milioni 655 zitatolewa kama zawadi kwa timu 48 zitakazoshiriki, ikiwa ni ongezeko la...
👉 Tarehe 30 Mei 2026 itabaki kuwa siku ya kukumbukwa kwa mashabiki wa Paris Saint-Germain baada ya kutwaa ubingwa wa UEFA Champions League kwa mara nyingine mbele ya Arsenal katika fainali iliyokuwa na presha kubwa. PSG walionyesha moyo wa kishujaa, utulivu na uzoefu wa mabingwa hadi kufikia...
Achana na stori za vijiweni .Nenda mkasome history ya huyu mama.Yani kama ni copy and paste .
tabia yake na mwanaye na magenge,utawala wake na waziri wake na kila kitu.
Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika
2026 | Makala ya Uchunguzi
Uchunguzi Maalum
NA ITS MALEKOGJ.
malekoj27@gmail.com
0798888486
Ford Foundation:
Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa
Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025
Nchi Zilizohusika...
Miaka ya 1970 katika chuo cha kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) kulikuwa kuna Professor mmoja maarufu aliefahamika kwa jina la Walter Rodney alikuwa ni raia wa Guyana nchi inayopatikana bara la Amerika kusini
Rodney alikuwa ana PHD ya Historia ya Afrika aliyoipata katika chuo kikuu cha London...
Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950
Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi.
Tumia picha upendavyo hazina hati miliki.
Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
Huu ni mtazamo wangu binafsi
Kwakua Tanzania haijawahi kushuhudia vurugu za aina yeyote suala hili lingeongezwa kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili ili kuonesha chanzo cha vurugu ,namna ya vurugu zilivyomalizika,jitihada za serikali zilizochukuliwaa.
Lakini pia elimu kwa vijana...
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO
Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado.
Nimebahatika kuingia ndani ya nyumba ya Tip Tippu Mji Mkongwe Zanzibar na nje ya hii nyumba yake ndipo lilipo kaburi lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.