hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa nini hii kauli huwa inawapa kiwewe wababa🤣, 🗣️"Haukuwepo nyumbani kwa hio nimemuachia mkeo ile hela"

    Utasikia... "Ayaaaaaaaaaa"
  2. Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  3. Hii TMX ni kiboko ya vibaka

    Rais Samia ameanzisha Soko la TMX mauzo ya mazao yaongezeka kwa asilimia 300 imani ya wakulima imeongezeka Chini ya Rais Samia Serikali imeimarisha udhibiti wa biashara ya mazao ya kilimo kwa kutumia mfumo rasmi wa masoko kupitia Tanzania Mercantile Exchange (TMX). Kupitia mfumo huu, wakulima...
  4. Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  5. Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  6. Wiki hii ndio nimejua maana halisi ya neno "WAHUNI"

    Polepole alianza kutamka neno hili "wahuni" kitambo sana, ila watu tulikuwa hatujamwelewa. sasa, naelewa, wahuni ni nani na ameanza kupambana nao lini.
  7. Kwa baridi hii Dar, ni kiwinter!

    Wandugu asiye na mwana sasa hivi Dar, basi ajibandike blanketi, chapa mtu! Baridi hii si poa kabisa,
  8. Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  9. L

    Usifungue Kampuni Mpya kabla Hujapitia hii Checklist

    Umiliki wa Kampuni unatakiwa kua very transparent, sababu una deal na serikali, una deal na Wafanyabiashara wenzio, una deal na wakopeshaji, una deal na wateja, na wafanyakazi pia. Sasa Hii ni checklist ya mambo muhimu ya kuangalia kabla hujafungua Kampuni; 1. Malengo ya Kampuni Inabidi ujue...
  10. Kuna shuhuda nyingine zinatia ukakasi. Angalia hii

    KAMA PICHA INVYOJIELEZA
  11. Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

    Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana. Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000 Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
  12. J

    Kijana anaomba ushauri kwenye hii changamoto yake

    Habari wana JFs, Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake. Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...
  13. GE2025 Thank you RORYA 🙏Wajumbe ♥️

    Hizi ndio Nyakati tulizokua tunasubiri kwa Muda mrefu SIASA za UKANDA,Basii.
  14. Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  15. SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ameandika barua kuomba msamaha kwa Rais na Watanzania

  16. Makonda pole sana hakika hii ndo Arusha haina utofauti na Kigamboni!.

    Pole Sana Mkonda , hakika hawa ndo wajumbe .
  17. M

    GE2025 Njombe: Wanafunzi tena waliovaa sare wanatafuta nini Ofisi za CCM – Wilaya ya Wanging'ombe Jumapili hii?

    Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe. Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
  18. Kwa uovu wanaoufanya Magaidi wa Hamas na Islamic Jihad hawapaswi kupewa nafasi ya kuishi katika duniani hii!!!!

    VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii ilitolewa kwa idhini ya familia yake, baada ya Hamas kuchapisha kanda hiyo bila ridhaa yao. Familia...
  19. Huwa mnadili vipi na ndugu wa aina hii?

    Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako. Ni dada yangu mtoto wa mama angu mkubwa, kuna kipindi waliuza eneo lao kama milioni 30 hivi, wakapewa mamilioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…