Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,802
- 2,719
Dr.Mussa Zaganza nimekuwa kwa muda mrefu nikiwasaidia watanzania ushauri wa kutunza ngozi zao na nywele kwa njia za asili.Na Wiki Hii nimeandaa klinik ya ngozi na nywele kupitia group la whatsapp ambapo utapata kujifunza yafuatayo:
1.Makundi 4 ya ngozi, na makundi 3 ya nywele,jinsi ya kuipima ngozi yako na nywele ni kundi lipi na namna ya kuitunza kila ngozi na nywele kulingana na kundi. Makundi haya ni ngozi ya mafuta,kavu,kawaida na mchanganyiko. Pia ni nywele kavu, za kawaida na laini
2.Yajue madhara ya vipodozi vyenye kemikali na vijue vipodozi vya asili badala yake. Pia ijue shampoo asilia ya kuzuia mba,nywele kukatika,kuwasha au kipara.
3.Kutatuliwa changamoto mbali mbali za ngozi na nywele ulizonazo ikiwemo chunusi, mba, mapunye, kupasuka miguu (magaga/kea), kuondoa weusi mapajani au makalioni ,mafuta mengi kwa ngozi,kuzuia mba,nywele kukatika,kuwasha au kipara.
na mengineyo
Tuma meseji au piga 0713 039 875 kwa msaada wa ngozi