hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni Hali ya kawaida au Kuna Tatizo sehemu

    Salam wakuu. Bila kuwachosha Kuna Hali flani imekuwa ikijirudia Sasa nashindwa kuelewa je ni Hali ya kawaida au dishi lishaanza kuyumba Yaani Kuna Ile unatembea tembea mara umefika sehemu ukiangalia Yale mazingira na kinachoendelea pale ni kama siyo mageni yaani kama ushawahi kufika hapo kabla...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio tech. ya kibabe dhidi ya starlink...'STARLINK KILLER'.

    "Kalinka & Tobol" ni mifumo ya kivita ya kielektroniki (EW) ya Urusi ambayo hivi karibuni imepata umaarufu kwa madhumuni yake ya kugundua na kuvuruga mawasiliano ya satelaiti, hasa yale ya Starlink, wakati wa migogoro. Kalinka: Mfumo huu ni wa kisasa zaidi na uliundwa mahsusi kukidhi mahitaji...
  3. JamiiForums Tanzania Elimu ya miaka hii ni changamoto

    Elimu ya miaka hii ni changamoto kwa vijana wetu, nna dogo yupo Darasa la nne ,heti madaftari kaunta Quare 2 yanatakiwa kumi na nne(14), dogo wenyewe kana umri wa miaka Tisa tu.... Umri huu na iyo mizigo mpka amalize Darasa la Saba si atakuwa na kibiyonngo? maana hapo bado chupa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa.

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  7. JamiiForums Tanzania Padri ahoji Je hii ndio Kazi na Utu? Alihesabu miili 13 ya waliouawa MO29 mbele ya Kanisa

    Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
  8. JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa sababu ya kutumbuliwa kwake?

    Siku mbili hizi akiwa huko Zanzibar, alinukuliwa akisema kuwa namba 1 atawaongezea posho wazee wa kaki. Hiyo ni kweli na taratibu zote zilishafanywa. Ila sasa barua yenye huo muongozo pale juu ina ule muhuri mwekundu umeandikwa “RISI”. Maana yake wanatakiwa wajue wanaohusika tu. Yeye akaona...
  9. JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tulipofika Tanzania, mtu akiwa na mawazo tofauti anaitwa ‘Mwanaharakati’

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa Mwanaharakati.
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo namna nzuri ya kutoa Haki katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Wachina

    Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo Kesi ya Uhujumu Uchumi...
  12. JamiiForums Tanzania Nitajie sifa za watu wa namna hii "Akili battery low ila mdomo full charge

  13. JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?

    Wakuu naomba kuuliza Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?
  14. JamiiForums Tanzania Huu Mwaka Umeanza vizuri. Hatari sana Hii inaombwa kuchakatwa yenyewe

    Ukiwa na vijjcent Tz mambo yanaenda mswano. Ntachelewa kuondoka Tz nizile zile kidogo nikirudi kwa watu nikawe nachapa kazi. Huku nachapa K tu kwa sasa. Hii yenyewe imejiinamisha mbele yangu... Mwaka umeanza vizuri kwa kweli.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi KKKT na Serikali hii Ndoa yenu imeanza lini

    Nawasalimu kwa Jina Bwana Wetu Yesu Kristo . Hiyo ni salamu kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania. Nawauliza VIONGOZI WA KKKT hasa Malasusa na Serikali ndoa yenu imeanza lini ??? Tenaaa au toka Malasusa Aingie ndio mkafunga ndoa kabisaa . Mimi siungi mkono kabisa . Na nawaambia...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni apartment hipo china unaweza kuishi

    Nahisi idadi ya watu na ukosefu wa maeneo kama mijini kunachangia kujengwa majengo marefu watu waweze kuishi. Imagine kama ni moto japo gorofa lina uimara.
  17. JamiiForums Tanzania Trump anachotamani yeye ni kumiliki mali za dunia hii sasa atagombana na ndugu zake Wadenmark

    Greenland, kisiwa kikubwa cha Aktiki kilicho sehemu ya Ufalme wa Denmark ambacho pia Trump anakimezea mate , kiko takribani kilomita 3,200 kaskazini-mashariki mwa Marekani. Kina utajiri mkubwa wa madini adimu yanayotumika katika teknolojia za kisasa, zikiwemo simu janja, magari ya umeme na vifaa...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Nataka kutana na top 3 viongozi wa nchi hii. Nipo na ujumbe kwao

    Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 . Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii awamu inatafuta mkunaji

    Sijajua kama ni awamu ya sita au saba, ila nachojua ipo kama jike la hayawani lililopo kwenye joto. Inatafuta mkunaji ila haiko tayari kukunwa. Bado haijapata beberu sahihi kufanya hiyo kazi, maana mabeberu wanaojitoa wanapata changamoto isiyo kawaida. Nahisi yupo beberu mmoja anatafutwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…