Nataka kutana na top 3 viongozi wa nchi hii. Nipo na ujumbe kwao

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,394
Reaction score
13,130
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya

Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k

Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 .

Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa sitaki, kama alivyosema yule ( lijasusi la mbinguni) na hapa ndo mtiani ulipo.

Nataka kutana nao live wote top 3 kwa siku moja .

Hawataki, shauri zao.

Nataka wanihakikishie sitotekwa na kuuwawa.

Thanks
 
Kama una ujumbe wao, wafikishie kwenye DM zao... Utakuwa umetimiza wajibu wako, kazi ibaki kwao.
 
Wasaidizi wake ni ngumu kukukubalia.labda kama unaujumbe wa kumpongeza Kwa kazi NZURI hapo wanaweza kukukubalia au utume ujumbe kule X zamani twitter
 
Sina ujumbe wa kupongeza ,bali ninao ujumbe toka kwa Bwana, wao ndo watajua ni wa kupongeza au la
 
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya

Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k

Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 .

Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa sitaki, kama alivyosema yule ( lijasusi la mbinguni) na hapa ndo mtiani ulipo.

Nataka kutana nao live wote top 3 kwa siku moja .

Hawataki, shauri zao.

Nataka wanihakikishie sitotekwa na kuuwawa.

Thanks
Mwambie huyo aliye kutuma akuhakikishie huta tekwa.
Au kama ni ngumu mwenye ujumbe awapelekee yeye moja kwa moja kwao bila kupitia kwa mwingine.
 
Mungu akamuumba mwanadamu kwa mfano wake, hakumuumba akengeuke , kukengeuka na kufanya mahovu ni binadamu mwenyewe lingana na mazingira yake kama alivyo shetani.

Chukulia hili

Unamzaa mtoto, analia vizuri tu , anatembea ,anakua na mwisho anakua jambazi , kama Mungu hakumpenda uyu why mimba isingetoka, kufa wakati wa kujifungua?

Binadamu wote ni watoto wa Bwana , ila dunia ndo huwageuza,

Pesa na raha za dunia ndo imekua kimbilo la binadamu.

Note
Yesu akaambiwa na shetani hizi mali zote zitakua zako ukitenda kile nataka , Yesu akagoma , unajifunza lipi kwa hili mkuu?
 
Namba moja yuko anarukaruka kama popo, haeleweki yuko wap
 
Kwamba mambo ya kutekana hutaki. Je, unamaanisha hawa ndio watekaji hadi uhofie kutekwa?
 
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya

Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k

Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 .

Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa sitaki, kama alivyosema yule ( lijasusi la mbinguni) na hapa ndo mtiani ulipo.

Nataka kutana nao live wote top 3 kwa siku moja .

Hawataki, shauri zao.

Nataka wanihakikishie sitotekwa na kuuwawa.

Thanks
Andika jina lako halisi, weka na contacts info.. Sasa hivi uatatimiza adhma yako.
 
Chura kiziwi alionywa na watu walioona kuna machafuko kuna damu itamwagka akilazmisha kugombea na kuwa rais tn huyo mtumish yupo arusha alionyeshwa hayo bt chura kziwi akashupaza tako sembuse ww mkuu mtu wa MUNGU?
 
Andika jina lako halisi, weka na contacts info.. Sasa hivi uatatimiza adhma yako.
Jina langu si ndo hilo 4 7 mbatizaji, nenda nida utalijua kwamba ndo hilo ,no yangu yasimu yahusu nini? wataikuta pale , je kukutana na top 3 yanakuhusu nini , shida machawa mpo na uPumbavuuuuuuuuu
 
Pole sana kwa mihemko
 
Back
Top Bottom