AINahisi idadi ya watu na ukosefu wa maeneo kama mijini kunachangia kujengwa majengo marefu watu waweze kuishi.
Imagine kama ni moto japo gorofa lina uimara.View attachment 3526306
Kuna min-markets humohumo.Sasa hao wa juu kabisa, inakuaje kuhusu mahitaji ya kila siku? Au maduka pia yako huko juu?.
Hatariiii hiii.