hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Halafu Inawezekana hii CCM ikawa ni mpango wa chadema mjue

    Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa; 1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema...
  2. Hii story ya Barbara Hassan imenisikitsha. Nini husababisha majirani kuwa kimya namna hii?

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya mtangazaji wa kipindi cha asubuhi wa Mjini FM, Barbara Hassan akiwa anazungumzia kuhusu mtoto wake. Anasema alikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamsaidia katika malezi ya mtoto. Kumbe huyo dada alikuwa na tabia ya kumnyanyasa na kumtesa mtoto wake kwa...
  3. F

    Ofa hamna anaetoa, mje kuchukua bure hii machine

  4. Ikiwa wazazi wenu walisema siasa Mbaya na haifai leo hii mnawalaumu walioingia huko na sasa wanakula matunda

    Tuache kulalamika, MTU ameingia katika siasa, kakukbali kutukanwa , kubezwa n.k Na nyie mlisema siasa ni Mbaya Ila Leo hii mnalalamika nini sasa.
  5. D

    Mwenyekujua jinsi ya kutatua hii changamoto ya Mfumo wa ESS anisaidie

    Nina changamoto ya kutumia mfumo huu wa ess nimeomba mkopo crdb bank week mbili zilixopita ili kupata mkopo ila kila nikifikia stage ya ku submit code namba kwenda utumishi inagoma na kuandika something went wrong .naomba msaada wenu mwenye uelewa zaidi
  6. Kuna App inashinda hii..?

    Hivi wakuu, kuna App inashinda hii kwa kuonesha majengo au maeneo mbalimbali bila kuacha kitu chochote.. hii App nakubali sana na inanisaidia kupima maeneo shambani kwangu kwa Acre/hekta pia nikisafiri nikiwa mji wowote inanifikisha eneo lolote bila kuhitaji Maafisa usafishaji(Bodaboda) Inapima...
  7. M

    Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

    Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
  8. Miliki nyumba hii kibamba shule Kwa 75 millions

    MILIKI NYUMBA NZURI KIBAMBA SHULE – MILIONI 75 TU!* Nyumba ya kuvutia inauzwa, ipo Kibamba Shule (1KM kutoka barabara ya lami). Sifa za Nyumba: Vyumba 3 (1 Master) Jiko + Dining Mabanda ya kufugia kuku (tayari kwa biashara ndogo) Fremu 3 za biashara (hazijamaliziwa) Eneo kubwa SQM 1300 –...
  9. Picha rasmi ya kampeni ya Mama Samia hii hapa, lakini kwa nini mtu wa makeup umuwekee miwanja mingi hivi?

    Makeup imezidi mpaka mama amepoteza uhalisia wake. Siyo sahihi kwa mgombea Urais kujibandika ma makeup mengi hivi mpaka apoteze uhalisia.
  10. Hii itasaidia Tanzania: Local MedicAid Card

    Habari za leo ! Naomba nitoe wazo ikiwapendeza Serikali na mamlaka husika muwaruhusu watu au taasisi binafsi watoe mchango yao na nyinyi mfanye ruzuku kiasi kwenye malipo ya Afya kwa watu wote wasio na kipato toshelevu kama wafuatao; 1. Familia masikini 2. Walemavu 3. Wenye mimba 4. Watoto...
  11. Hivi hii jitegemee holding inayochimba makaa ya mawe huko Ruvuma inayomilikiwa na ccm inalipa kodi kweli?

    Wakuu Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma. Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
  12. Hii ndio JF ilipofikia 2025, wanaume kuambiwa wavae sketi.

  13. H

    Wenye elimu/wasomi ni wajinga mno katika nchi hii ya Tanzania

    Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini?? Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye...
  14. Kwa maana hii Ukraine wameshindwa vita

    Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda
  15. Wanawake wa aina hii watakuchelewesha kimaisha bro amka

    Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
  16. Katika hali hii ungekuwa wewe ungefanyaje

    Mlinzi wa wanyamapori alikuwa na wakati mgumu sana chui mmoja aliporukia gari lake aina ya Jeep na kuanza kunusa huku na kule. Alijitahidi sana kutomtazama machoni hadi chui huyo aliporidhika na kuondoka bila kumdhuru
  17. JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
  18. Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  19. M

    Ndugu zangu watu wa CCM, ebu epukeni aibu hii.

    Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona. Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
  20. K

    With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…