Angekuwepo Trump, Afghanistan ingekuwa chini ya Taliban? Kungekuwa na hii hali inayoendelea huko Ukraine / Russia?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo mengi sana.

Moja ya mambo aliyoyapa kipaumbele ni kupunguza misuguano ya uadui na kujikita zaidi katika umoja, Ni yeye ndie alieweza kwenda hadi North Korea katika hizi jitihada.

Huko Afghanistan ni wazi kabisa Biden ndie wa kulaumiwa kwa 100% na media pia haikuipa uzito vifo vya wanajeshi waliouwawa na Taliban kwa sababu ya double standards ya media kwa vyama vya siasa.

Na kwenye hii ishu ys Ukraine Biden kwa sasa ni kama mdoli tu mbele ya Urusi, Biden ni mdhaifu sana ila media inamlinda, yeye ndio chanzo cha youtube kuondoa idadi ya dislikes kwasababu videos zote za whitehouse zilikuwa zinapata dislikes nyingi sana mara kumi+ kuzidi likes, hawezi hata kwenda kwenye hafla za kimichezo kwa kuhofia kuimbiwa wimbo wa lets go brendon (fu** joe biden), kwenye kupanda ngazi inabidi awe makini ili asianguke kama alivyoanguka mara 3 kwa mpigo ila media zikawa kimya, hawezi ku deal na hoja anatukana waandishi ni juzi tu hapo kamtukana mwandishi ni som of a b*** ila media zimefukia hii ishu, Biden ni msahulifu sana ana ugonjwa wa dimentia anaweza dhani yupo new york ila yupo washington, n.k, n.k.

Kwa lugha nyepesi Biden ni kama katuni mbele ya Urusi, China na hata Iran.
 
Trump aliowatoa jela viongozi karibia wote wa Taliban unaowaona na mpango wa kuondoka Afghanistan ulianzia kipindi Cha trump na yeye ndo aliyewaruhusu kufunguka ubalozi Qatar Biden alichofanya ni kumaliza mchakato ulionza kipindi Cha trump

Tatizo lako sio mfuatiliaji wa mambo yaani ni mshabiki
 
Hii bado ni weak point, aliwaachia wafungwa wa taliban wa zamani sana, na hata walipoachiwa bado Afghanistan ilikuwa shwari kabisa.

Trumo aliwaambia hao Taliban wakimuua askari yeyote wa marekani ama wakileta vurugu watakipata cha mtema kuni na walitii amri, wote ni mashubuda wa hali ya amani iliyokuwepo.

Biden kaingia kwenye uraisi kakimbilia kutoa wanajeshi wa marekani huku akiwaacha raia hata wa marekani bado wapo Afhanustan, pia aliamuru jeshi liache silaha zenye thamani ya takribani trilioni 200+.... hapa hii ilikuwa akili ya wapi hii??
 
Hii post inatufundisha nini? Manake dhumuni la ww kuandika post hii ndefu ni kufundisha jamii ya waTanzania kitu gani? Nitashukuru kupata jibu zuri mkuu wangu.
 
Eti Biden ana ugonywa wa dementia. Nimeshakudharau kabisa ww. Una proof kwamba ana huo ugonjwa. Unaandika umbea tu mambo ambayo hayakusaidii maishani.
 
Sawa tuseme trump angeshinda uchaguzi , so taliban wangechukua afghan baada ya miaka minne au?
 
USA umeshafika na kuishi? Badala ya upambanie hali yako.. Trump alikuwa hateful sana kwa ngozi nyeusi na immigrants. Halafu unamtukuza. Mtu kama ww ndio mlikuwa mnauza waAfrika wenzenu utumwani enzi hizo. Mtu anayekudharau na kukuchukia tokea moyoni kama Trump unamtukuza huku ukimdharau kwa umbea Biden ambaye ana moyo wa kusaidia watu kama ww.
 
Hii bado ni weak point, aliwaachia wafungwa wa taliban wa zamani sana, na hata walipoachiwa bado Afghanistan ilikuwa shwari kabisa.

Trumo aliwaambia hao Taliban wakimuua askari yeyote wa marekani ama wakileta vurugu watakipata cha mtema kuni na walitii amri, wote ni mashubuda wa hali ya amani iliyokuwepo.

Biden kaingia kwenye uraisi kakimbilia kutoa wanajeshi wa marekani huku akiwaacha raia hata wa marekani bado wapo Afhanustan, pia aliamuru jeshi liache silaha zenye thamani ya takribani trilioni 200+.... hapa hii ilikuwa akili ya wapi hii??
Kiongozi wa Sasa wa taliban Abdul ghan baradar na wenzake 5000 waliachiwa kipindi Cha utawala wa trump na ndo wanaongoza Afghanistan kwa sasa
 
USA umeshafika na kuishi? Badala ya upambanie hali yako.. Trump alikuwa hateful sana kwa ngozi nyeusi na immigrants. Halafu unamtukuza. Mtu kama ww ndio mlikuwa mnauza waAfrika wenzenu utumwani enzi hizo. Mtu anayekudharau na kukuchukia tokea moyoni kama Trump unamtukuza na kumdharau kwa umbea Biden ambaye ana moyo wa kusaidia watu kama ww.
Sisi waafrika ni watu wa ajabu trump anachukia waafrika wazi wazi ndo maana hata uchaguzi wa 2020 African American ndo moja sababu kubwa ya trump kushindwa sababu almost 90+ walimpigia kura biden
 
USA umeshafika na kuishi? Badala ya upambanie hali yako.. Trump alikuwa hateful sana kwa ngozi nyeusi na immigrants. Halafu unamtukuza. Mtu kama ww ndio mlikuwa mnauza waAfrika wenzenu utumwani enzi hizo. Mtu anayekudharau na kukuchukia tokea moyoni kama Trump unamtukuza na kumdharau kwa umbea Biden ambaye ana moyo wa kusaidia watu kama ww.
Sisi waafrika ni watu wa ajabu trump anachukia waafrika wazi wazi ndo maana hata uchaguzi wa 2020 African American ndo moja sababu kubwa ya trump kushindwa sababu almost 90+ walimpigia kura biden
 
Eti Biden ana ugonywa wa dementia. Nimeshakudharau kabisa ww. Una proof kwamba ana huo ugonjwa. Unaandika umbea tu mambo ambayo hayakusaidii maishani.
Kama hujui biden ana dimentia nenda jukwaa la vituko huenda hili jukwaa umevamia tu
 
Sisi waafrika ni watu wa ajabu trump anachukia waafrika wazi wazi ndo maana hata uchaguzi wa 2020 African American ndo moja sababu kubwa ya trump kushindwa sababu almost 90+ walimpigia kura biden
Kabisa. Mwafrika kama huyu mwandishi wa hii mada anaajabisha sana..
 
Sisi waafrika ni watu wa ajabu trump anachukia waafrika wazi wazi ndo maana hata uchaguzi wa 2020 African American ndo moja sababu kubwa ya trump kushindwa sababu almost 90+ walimpigia kura biden
Trump ni MSEMA kweli, majitu mweusi ukiyaambia ukweli yanaona umeyatukana.

media na watu kama nyie ndiyo mnamchafua Trump. ila bado kitambo atarudi IKULU.
 
HiZo sifa trump anazowatuhumu wafrika mim Sina hata moja labda wewe ndo unazo
Sio anazotuhumu Trump, sema wazungu wanatutuhumu, wote wanatutuhumu na si tuhuma tupu , ni kweli sisi ni shithole.

wote wazungu wanajua sisi ni vilaza kweri kweri. utofauti wa Trump na akina Angela make yeye anaujasili wa kuku Chana live. uvimbe upasuke shauri yako.
 
Back
Top Bottom