Mwenye experience na hii company au kama ipo nyingine nyumbani hapa

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,130
1,637

IntelPetro

Pump Automation With Accounting

& Inventory Management Software


naomba wenye ujuzi na hii software au hata kama ipo nyingine hapa kwetuje ni nzuri ? Ina meet requirements zote za shell katika mazingira yetu.


Najua kuna ulazima wa kuwa na miundo mbinu ya ICT KWENYE shell zinazotumia hizi software.


Je ni zipi na ni kampuni gani mbadala hapa kwetu wanayo tayari na wanafanya installation ya moja kwa moja hadi kwenye pump nataka ile inadetect automatically kwamba mafuta yanayoka sasa hivi na mambo mengine muhimu


Sio zile manually Azqkwenda kurekodi baadaye.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom