King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala ulio huru kutoka kwa mwenzake. Na hii ndiyo maana ya mfumo. Si sawa kudhani kuwa ipo sehemu ya mfumo...
Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais...
Bima nyingine kama NHIF Zina Changamoto hizi
1. Kama hakuna Umeme Huhudumiwi.
Pale Levolosi Arusha nilikosa huduma Kwa sababu hakukuwa na Umeme. Nilioa baadhi ya sehemu taa Zinawaka ikiwemo Mapokezi. Nikaambiwa wanatumia Generator Haliwezi kuwasha Computer. Nikaazuga kwenda nyuma ya Mapokezi...
Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi,
Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na kuleta upuuzi wake,
imekua hivyo tangu zamani kwanzia Nyerere, Mkapa Mwinyi Kikwete na JPM na hata...
Mama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho.
Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku bara inaweza kuwa inakuchekea usoni lkn moyoni ina chuki ya kukuua
Mama amejiandaa kwa yote haya...
Matunda ya Uongozi wa Rais SSH yaanza kuonekana kutokana na ukuaji wa Uchumi.
Hongera Sana Mama juhudi zako zimeanza kuzaa matunda,Watanzania tutegemee Neema zaidi kwa miaka ijayo
Archbishop Desmond Tutu amepumzishwa kwa amani kwenye makao yake ya milele mjoni Cape Town baada ya kufanyiwa taratibu zote za kuuaga mwili wake kwa heshima za kiserikali na kidini ambapo kukafanyika shughuli nyingine ndogo nyuma ya mimbari aliyokuwa akiitumia kukemea na kuupinga vibaya utawala...
Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini?
Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake.
Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.
Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine.
Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under...
Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa.
Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...
Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM.
Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.'
Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William...
Habari nyingi wakuu.
Tumeanza mwaka na mipango mipya.
Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah.
Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom)
Jiko
Dining
Kitchen
Store
Sitin room
Public toilet...
Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata.
Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na...
CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu.
Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji? Aliyesababisha hayo haguswi?!
Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe...
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.
Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia. Haitashangaza Tundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.