King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Habari Wakuu!
Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii.
Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania?
Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
Habari ya asubuhi ndugu zangu, yoyoye anaemjua supplier mzuri wa mchele anichek kwa number: 0783 242247
Tumepata emergency therefore is very urgent to get it today or tomorrow.
Vigezo ni kama ifuatavyo:
1. Awe in Dar Es Salaam
2.Mchele uwe in packs of 25kg
3.Mchele uwe na sticker/lable...
Naomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu wakumleta kwenye hoja nyeti wakati alishatoa kauli mbili tofauti juu ya uchaguzi uliopita? Ana kauli...
Kaandika hivi kupitia twitter:
"Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu. Hata ya uzamili ni kazi sana. Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au...
Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure.
Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
Habari!
Usioe mwanamke wa namna hii;
1. Anayevaa mawigi
2. Anayeweka kucha za bandia
3. Anayeweka kope za bandia
4. Anayevaa shanga kiunoni
5. Ana smart phone na hana kazi
6. Ana ghetto na hana kazi au ana ghetto na anaishi karibu na wazazi.
7. Aliyekuambia mfanye siri mlipoanza mapenzi.
8...
Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
wakati mimi nalalamika bei ya mafuta ya kula kufikia 7500 kwa lita kumbe kuna watu wanachezea hela namna hii,
hawa naona wameamua kuanzisha derby
Hakika tumerudi zama za mbuzi kunyweshwa bia
Nliambiwa na mtu niingie chumvini. Sikumwelewa "mashokoro mageni" nikawa tu naendelea na mambo yangu akanishika kichwa na kukielekeza huko ...sikuelewa. akanambia lamba chumvini
Hapo akanikata stimu kabisa...nikajiuliza hawa wadada watakuja kupata kansa kwa nini anaweka chumvi huko akitaka...
Usawa huu mko ofisi Moja, kada Moja ,
Ngazi ya mshahara moja,
Mwenzako anapata mshahara leo ,
Wewe uje kupata kesho sio tabia nzuri hata kidogo..
Enzi zile za pontio pilato pamoja na ubabe wake lakini mshahara ulikuwa unatoka siku Moja,
Labda ilitofautiana dakika kadhaa lakini ndani ya masaa...
Hii wizara ipo Kama haipo. Tunaelekea January Bei ya mbolea nikama tunanunua dhahabu, haijawahi tokea tangia uhuru.naona wanakula kiyoyozi tu hapo wizarani. Nimepita sumbawanga vijijini watu wanauziwa mbolea 150000"watu wameamua kuachana na kilimo Cha mahindi wanalima maharage kwa sababu...
Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo.
Ujenziwa daraja...
Wasalaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kutumia Nokia Fulani hv siikumbuki ni model gani lakini ilikuwa ni ya button. Simu ile ilikuwa na uwezo katika upande wa sms, wa kutuma 'flash message' ambayo moja ya sifa yake ni pamoja na kupotea ukishamaliza...
Wadau
Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia hovyo na kuishiwa nguvu kabisa na kuanza kulilia mama zao pale jukwaani....
Mi ninavyoelewa machozi...
Leo nimetoa shilling 35,000 kununua bando la internet Vodacom nikapata gb 25, hii hela inabidi izalishee hela nyingine kwa kupitia mtandao, nitaletaa mrejesho hapa
Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe.
Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi.
Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.