hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Evelyn Salt

    Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

    Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔 Nnajiuliza kwani hili...
  2. K

    Nani kulipa hasara hii ya WhatsApp?

    Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje...
  3. Jerlamarel

    Hii nchi ukitaka kuwa mzalendo kwa nyakati hizi basi cha kwanza lazima uwe mbumbumbu haswaa.

    Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi. Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
  4. Alagwa

    Whatapp, facebook na Insta zikifungwa mtaweza maisha bongo hii

    Kwa muda mfupi wa mitandaao hi ya kijamii kusumbua wate wengi wamekwama katika shughuli zao nyingi. Mfano mshijai wangu kazini kwako kila kitu ni kwenye group la whatapp la job sasa jioni nii mtandao hakuna ndio kama likizo kwake,, Je kama ikichukua muda mrefu halii hii tutaimudu?
  5. B

    Kipanya na Katuni hii, aliona Mbali

    Pigisha hata kura ya maoni ulipo au hata katika ulio nao karibu: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kibonzo hapa kina hoja nzito.
  6. Cambodian

    Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  7. B

    Waziri Mkuu Majaliwa: Zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80

    Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache. Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais...
  8. M

    Wanaume hii ni sawa?

    Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!. Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu. Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia...
  9. Red Giant

    Wanauchumi msaada: hii mbinu ya Mwigulu kuongeza mzunguko wa pesa ipo sawa?

    Bondia wakuu. Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema. Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa...
  10. Ferruccio Lamborghini

    Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

    Habari ya wikiendi wana JF wenzangu. Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni. Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data. Ile kupiga...
  11. Prof Koboko

    Hii nchi kuna watu itawashinda, Vifurushi vya Internet vimepandishwa kimya kimya

    Kuna mambo lazima tuseme ukweli, hata kama ni ukata lakini si kwa hali hii. Mitandao yote ya simu wamepandisha gharama za bando za internet bila hata kujulisha wateja wake, nini kimetokea ikiwa ni miezi 3 tu baada ya vifurushi kupandishwa wananchi wakapiga kelele sana vikashushwa chini, leo...
  12. J

    Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

    Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva " Hakuna kama Samia " Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya...
  13. Mkaruka

    Achana na Chanjo ya UVIKO-19, Hii ndio propaganda nzito iliyokuwa inapigwa kupinga Umeme miaka ya 1990s

    Propanda ya kupinga Umeme.
  14. MUSIGAJI

    Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

    Wanajukwaa nawasimu, Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu. Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo). Je kumbukumbu zangu ziko sawa?. ========= Mahakama ya hakimu mkazi...
  15. Lord Denning

    Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

    Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama Napenda kuwashauri hivi...
  16. Darucha

    Wadau anaefahamu mwimbaji wa hii nyimbo au jina la hii nyimbo anisaidie tafadhari ni nyimbo ya kikorea

    Msaada wa hii nyimbo ya kikorea kwa anayejua Nani kaimba na jina la wimbo
  17. Gnyaisa

    SoC01 Hii ndio mbinu pekee ya kuokoa Mfumo wa Elimu Tanzania

    Shule ya msingi niliyosoma zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita inajipambanua kwa kaulimbiu isemayo “ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA”. Nakumbuka vyema jinsi ambavyo kaulimbiu hii ilifanywa kuwa sehemu ya maisha ya kila mwanafunzi pale shuleni. Mwalimu alikuwa akiingia darasani kufundisha wanafunzi...
  18. technically

    Kiufundi Simba Kuna tatizo kubwa

    Mechi 3 bao 0 yaani ufungi bao dakika 270 kwenye mpira haya ni maajabu kwa timu inayotetea ubingwa. Wachezaji hawajitumi Wala hawana Hali kabisa ukiwatazama usoni. Pamoja na kuuza wachezaji wawili ila Simba Kuna tatizo la kiufundi kwani Kuna mechi nyingi msimu ulioisha chama alikuwa amefiwa...
  19. L

    Umiliki wa ardhi uwe wa Mtu binafsi au kampuni binafsi (inayomilikiwa na raia). Tuachane na hii ya kumilikiwa na Rais

    Katika uchumi ardhi ni moja wapo ya rasilimali muhimu. Katika biashara na uwekezaji, ardhi ni kati ya rasilimali muhimu sana. Hivyo, umiliki wa rasilimali hii ni jambo la muhimu sana katika kutumia hii rasilimali muhimu. Juu au ndani ya rasilimali hii, rasilimali zingine huwekwa, za muda mfupi...
  20. L

    Hii imekaaje? Clouds Radio na EFM kuendesha kamari katika vipindi vyao?

    Kumekuwa na tabia watangazaji wa vipindi vya redio Clouds na E.fm kuchezesha kamari katika kila vipindi. Kwa nyakati tofauti watangazaji hao wamekuwa wanawashawishi wasikilizaji wao wawe mamilionea kwa kuwaambia watume pesa kwa namba wanazozitaja huku wakitaja dau. Mwisho wa vipindi huwapigia...
Back
Top Bottom