hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba hii ni sawa na Nigeria ya Kombe la Dunia 1998. Inashinda ila siuoni ufundi kabisa

    Niseme tu labda siwafahamu De Agosto vizuri. Lakini mpira wa Jumapili wa Simba sikuelewa, butu butu nyingi. Ubora wa timu niliouona kwa Mgunda ni ifuatayo; Uchaguzi mzuri wa wachezaji. 1. Niliona mapungufu ya Quatara yakifanyiwa kazi. Na Kanute anakuwa mzuiaji wa chini kabisa. Anazuia mipira...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

    Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?
  3. JamiiForums Tanzania Kalynda Wasishtakiwe, hii ndio maana halisi ya usimuonee Huruma masikini na mjinga

    Kwema Wakuu! Kuna watu hata uwape majibu ya mtihani bado Watafeli pakubwa, alafu watakuwa wakwanza kulalamika. Taikon ni mtu wakuwapeni Magaka/majibu ya mitihani kabla ya kuingia Chumba cha mitihani. Ukiona Jambo nimeliandika ujue tayari nishalifanyia uchunguzi wa kina, na Kwa vile sio hulka...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

    Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu Hii Pc kwa hii bei ni sawa?

    Wakuu vipi, Nmeenda dukani kununua Pc used abroad. Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba. Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6 Kwa 550, 000/= Ni sawa au napigwa?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili kuweni sincere na wateja wenu, kuweni wakweli, kweli hii application kwa wakili wa Court of appeal unaweza kuikubali kuiendesha

    Wanasheria kuweni na huruma, you should not be driven by money! Mshauri mteja na ikibidi kataa kuichukua kesi kuwa hii completely huwezi kushinda. Someni muone walivyo shyster lawyers hawa mawakili wetu
  7. JamiiForums Tanzania Kwako Eng. Hersi Said taarifa hii ikufikie kuhusu chawa wako

    Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga. Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako wanaokuzunguka, mdomo mwingi, sifa kibao utendaji sifuri. Hao wamekuwa wakiangalia matumbo yao tu na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kifurushi chako cha DSTV kina channel za michezo! Fursa hii hapa

    Kifurushi Cha ofisi
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

    Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia Hii nchi kwanini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi...
  10. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA : Simba tayari ameshapoteza hii game. Arudi tu kuja jipanga

    Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola. Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya...
  11. JamiiForums Tanzania Wadau, msaada haraka hali hii inatesa sana muda huu

    Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni, hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu. Nimekula nyama choma, mishkaki, sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

    Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
  13. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kiuchumi nchi hii yanaitaji mabadiliko ya haraka katika sekta tatu

    1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO. Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa dua kali na ya aina yake iliyofanywa Al Hilal asubuhi hii, wakifungwa nawapa hawara yangu mhangaike naye

    Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal. Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
  16. JamiiForums Tanzania Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

    Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia hii inanikwaza sana wakubwa mnalala tu et?

    Mliyo na dhamana ya kusimamia vitengo serikali kwanini mnalea uzembe,uwizi wa watumizi wenzenu?Mara nyingi unakuta mtumishi anafika oficini anasaini halafu anafanya kazi kidogo anaenda mtaani kuzurula au kwenye mishe binafsi ndiyo mana nasema uzembe,uwizi mana analipwa na mshahara ambao mi...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

    Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF. Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito. Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL. Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
  19. JamiiForums Tanzania Salamu zako Alasiri hii zimuendee nani?

    Mambo Zenyu. Mimi salamu zangu ziwaendee watu wote wa JF ambao wanajitambua. Je, salamu zako alasiri ziende kwa nani?
  20. JamiiForums Tanzania Muda mrefu sana Natafuta hii Ngoma

    Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…