King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.
'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
Habari wakuu.
Nina tatizo la kutokwa sana machozi nikiwa sehemu za baridi, na pia pua zangu zina tatizo la kitaalamu linaitwa Rhinorrhea (runny nose) pua zinakua zinatoa makamasi mepesi nikiwa sehemu za baridi.
Tatizo la kutokwa na machozi na makamasi pia hunipata nikiwa nakula chakula...
Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa fresh kiganjani walau zikizidi sana basi iwe ni sentimita 14 na nusu kwa urefu.
Simu kuziweka...
Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana wapo wanaokumbuka mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka mabaya yake, nyimbo hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.
Kwa wale tunaofatilia Sana mpira wa Ulaya mtakua mnajua jinsi wenzetu wana mifumo wa kuruhusu wachezaji wa Academy kucheza mechi yeyote wakati wowote na timu kubwa.
Mchezaji wa academy anakuwa hawekwi kwenye list ya waliosajiliwa lakini wakati wowote akionekana anafaa anapandishwa tu kucheza na...
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.
Mtazame mkewe sasa...
Salaam wakuu,
Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo.
Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school.
Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma...
Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali?
Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
Ubuntu
(umuntu ngumuntu ngabantu)
"Ubuntu" (matamshi ya Zulu: [ùɓúntʼù])
ni neno la Kibantu la kabila la Nguni ambalo lina maana ya "utu".
Mara nyingi hupewa tafsiri kama "Mimi ni kwa sababu sisi ni" (pia "Mimi ni kwa sababu wewe ni"), au "utu kwa wengine" (Zulu umuntu ngumuntu ngabantu)...
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply.
https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo?
Tupe ripoti yako tafadhali.
Hii ni makosa. TISS inakuwa trivialized kwa kuitajataja bila sababu.
Hawa ni state police,wanalinda viongozi,so,what's troubling you?
Truly I am amazed. Ni kitu gani kinasababisha hii flurry ya posting za TISS?
Habari!
Mimi ni mwajiriwa katika ofisi moja ya umma.
Sasa hapa kazini kuna watumishi wa kudumu, wa mkataba wa muda mfupi na wanafunzi waliokuja kufanya field na wengine wamezamia mazima wakisubiri huruma za boss huenda atawaajiri.
Yes. Wapo walioanza kama wanafunzi mpaka wakaajiriwa kwa...
Miaka Ile wimbo wao ulibamba sana😊😊
Alicom na Celina_wapambe
Katika pita pita nimesikia uki pigwa
Enzi izo ulikua moto Africa mashariki na kati🌍🌍
Jamaa sijui yupo wap Kwa Sasa...
"Wapambe tusi wakubali.....// Selina wangu we kimwana...// Unizalie na wanaa...
Wewe ulikua wap enzi izo..😊😊🤓🤓
Hii Hali imenipata mara kadhaa. Hizi daladala za bongo mnajaa wanaume na wanawake na wamama walivyo na maeneo laini yaani unahisi kabisa kitu laini kinakugusa.
Hii hali siipendi basi tu. Mola akinijaalia kauwezo nipate kausafiri niachane hii adha.
Wanamama Muda mwingine hudhan tunapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.