Kinondoni tunalipa hela za taka ila magari ya kuzoa taka hatuyaoni

Majaliwa Mvuvi

New Member
Nov 15, 2022
1
0
Mhe. Mkuu wa Mkoa leo unakabidhi vifaa vya usafi hapa Makumbusho, lakini sisi wakazi wa hapa tunasikikitika kuwa mataka taka yamejaa kwenye majumba na mitaa yetu, hayachukuliwi kwa wakati huku tunalipa ada zetu kilamwezi.

Mfano, sisi wakazi wa Bwawani gari hatulioni mtaani na pia kwenye eneo. Mzoa taka taka hana vifaa vya kutosheleza nina imani kama mtampatia magari ya kutosha anaweza kufanya kazi vizuri kuliko vifaa anavyotumia sasa.

Naomba hili lishighulikiwe ili hela yetu tunayolipa iende kihalali na sio janja janja
 
Back
Top Bottom