hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli anazidi kung'ara kwa siha na wajihi katika awamu hii ya sita

    Mama Janeth Magufuli kwa kweli amezidi kupendeza, nimefuatilia sana matukio yake katika awamu ya sita, ni mtu mwenye furaha sana, anatabasamu, kwa kweli anaonekana mtu mwenye amani sana, hana mawazo, amesakata dansi pale ikulu chamwino, Mwenyezi Mungu amuweke.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

    Habari JF, Hayati mwalimu Nyerere, JPM na sasa Ruto hawatofautiani sana mitazamo yao kuhusu Mabeberu. Tazama hii clip kuna vitu vingi utajifunza vilivyo tokea na vinavyotokea sasa kama Msamaha wa bure wa Mbowe, Maridhiano, Operation ya gharama kubwa ya 255, maandamo nchini Kenya na mengine...
  3. JamiiForums Tanzania Biden: Urusi haitashinda Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine. Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa. Rais Biden akionekana wazi...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wa mikoani wanabaki fit kwa sababu wanakula namna hii..

    Pamoja na kwamba wazee wa mikoani huitwa washamba na wepesi kuingizwa mjini lakini katika suala la uimara wa afya na nguvu za kiume wako vyema. Wanaume wa mikoani hawali milo yenye mafuta sana Tazama hii na muwaambie vijana wa Dar kwamba wenzenu hawatumii vumbi la Kongo wala putururu...
  5. JamiiForums Tanzania Tutumie njia hii kutumia muda vizuri

    I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda. Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may send a single messages to wish them Goodnight or Good morning at once.
  6. JamiiForums Tanzania Kuiba Trillion 2 halafu kesho yake unamwambia mtu lipa kodi kwa maendeleo ya taifa ni matusi, hii inauma sana

    Kuna wakati leo nimekaa natafakari sana jinsi tunavyobanwa katika kila angle ili tulipe kodi, hasa hasa hili suala la tozo za miamala, linaumiza sana. Halafu unakuja kuambiwa watu wanaiba pesa tulizolipa kodi, nasikia kuna hadi trillion 2 zimelambwa. Hapa nimetoka kutuma pesa haifiki hata laki...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wenye timu yenu mjibuni Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe juu ya hii kauli yake

    Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa; "Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Hii tabia yake imekuwa kero na inaweza hatarisha maisha ya mtu

    Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Serikali itumie njia hii kudhibiti ukwepaji kodi.

    Kwanza, Ninampongeza Waziri mkuu kwa kutatua mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo uliodumu kwa siku 3 mfufulizo. Katikati ya mgomo huo mpaka kutatuliwa kwake tumeona na kusikia mengi hususani madhila waliyokuwa wanakutana nayo wafanyabiashara kutoka kwenye vikosi kazi vya kodi. Pamoja na mambo...
  11. JamiiForums Tanzania Akina dada heshima ni kitu cha bure!

    Kwa nilivyokereka hakuna salamu hapa! Baada ya kumfatilia kwa wiki kadhaa akaingia line, toto fulani hivi nyeupe ndefu yenye kiuno nyigu, tunasema figure ya kimataifa. Figure ambayo hata tozo unalipia na chenchi inabaki! Anamidomo yakuumana,shingo yenye vimistari vya utamu utamu, kifuani...
  12. JamiiForums Tanzania Wanasimba hii chungu kumeza, ila hasira zenu msizimalizie kwa Mohamed Dewji!

    Yanga ndio huyo Fainali ya Shirikisho. Tambueni tu mtani anachuma alichopanda baada ya msoto mkali. Uwekezaji, mipango-mkakati na utawala bora, maandalizi mazuri ya msimu, kiu ya mafanikio n.k, vimewafanya jamaa kuandika historia. Mafanikio hayana uchawi zaidi ya kujipanga. Mtaani apewe...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania. Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Hivyo matokeo yoyote ya ushindi...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Sospeter Bajana kasinya Simba? Angalia video hii

    Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe:
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO HII IMENISIKITISHA SANA , IPO YOUTUBE JUST FLOW THERE as titled..., NA SIO PROPAGANDA

    Innocent men , are sent to die on their on !! , Some of them living miserable life on trenches just waiting for their fate dah soooo sad Just look his face , his face looks like your father sema , rangi tuuu
  16. JamiiForums Tanzania Hili limekaaje wadau? Huyu manzi atakuwa anamaanisha nini?

    Kuna binti mmoja ni mama lishe. Ni mdada mzuri sana, kama mnavyojua wadada wanaofanya hizi shughuli za umama lishe, tena ukiwa mzuri kuna kuwa na mtiririko wa wanaume kuomba namba kila mara. Na mimi mara nyingi huwa napoenda kwenye shughuli zangu, ni lazima nipitie hapo kwenye mgahawa wao...
  17. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Ipe maneno picha hii

  18. JamiiForums Tanzania Anayetaka pesa ya bure aweke bashiri hii mechi ya Yanga kesho.

    Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza. Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi? Nimeota, na inaenda kuwa kama...
  19. JamiiForums Tanzania Sijui kama waheshimiwa wetu wanapitia hii changamoto

    Kumekucha tena wanajukwaa la JF, Msakatoke mwenzenu nimejaliwa siku mpya tena pamoja na familia yangu. Ntakua mchoyo wa shukrani bila kusema: Asante Muumba kwa siha njema na faragha. Amma baadu, bada ya utangulizi na shukrani. Siku ni mpya. Nmeamka na maumivu ya deni la mangi shop. Watoto...
  20. JamiiForums Tanzania TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

    Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi. Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike. ITAENDELEA!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…