hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma ndio hakuna maji namna hii?

    Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji. Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa. Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu. ==== UFAFANUZI KUTOKA DUWASA ====
  3. JamiiForums Tanzania Patriot zinaendelea kulinda mji wa Kyiv, hii inafanya Urusi wawe na hasira sana

    Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi tuwekeze kwa hizi patriots za Marekani...ndio muarubaini wa yote. Russia launched a new wave of air...
  4. JamiiForums Tanzania Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
  5. JamiiForums Tanzania Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

    Habari Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
  6. JamiiForums Tanzania Kila mwana Yanga SC unayekutana nae baada ya Kipigo anasema Inshaallah hivi ina maana USMA wao hii Inshaallah haiwahusu?

    Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara? Kudadadeki imeshaisha hiyo.
  7. JamiiForums Tanzania Video: Watu wa namna hii wanapatikana wapi katika hii Nchi?

    Inashangaza halafu inahuzunisha, inafikirisha, inasikitisha, inaumiza sana. Unaweza uliza hawa watu wa hivi wanapatikana wapi nchini.
  8. JamiiForums Tanzania Moja ya maeneo hatari nchi hii ni uwanja wa Benjamin Mkapa

    Huu uwanja ni moja ya sehemu hatari sana kwa maisha ya watanzania. Wakati wa mazishi ya JPM inasemekana watu arobaini walifariki kwa kukanyagana. Hatujui majeruhi walikuwa wangapi. Jana wakati wa mechi ya yanga inadaiwa kafa mmoja na majeruhi thelathini. Bado hapo ambao hupigwa na askari karibu...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada. Nadhani nina tatizo, hii si hali ya kawaida

    Ni miaka mingi sana kuna jambo nikiona mwanamke anafanya nachanganyikiwa kabisa. Na huwa napenda sana linanisisimua sana mwili. Napenda sana kumwona mwanamke anakojoa. Yaani kama ni mpenzi wangu nitataka achuchumae akoje nimwone huku nashika shika mkojo wake. Halafu nimnawishe. Au kama...
  10. JamiiForums Tanzania Hii milioni 20 ya Rais Samia mbona kama imetumika tofauti na maelezo? Tazama hapa

    Poleni sana Wananchi kwa kupoteza mchezo jana. Naamini nafasi bado ipo kama mtaenda na mipango na mbinu sahihi ugenini. Nikirudi kwenye mada hapa, shida yangu ipo kwenye namna ya ahadi ya Rais kuhusu kutoa Milioni ishirini na namna ilivyofanyika. Mjadala huu haufungamani na upande wowote...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona Sura za wana Yanga SC zimekosa Ushirikiano Jioni hii na Usiku huu kama vile Wamesingiziwa Kesi?

    Hakika Mwarabu ni Mtu mbaya sana.
  12. JamiiForums Tanzania Specialist wa Range Rover anawezaje kuzungmza kauli kama hii?

    Mwaka 2021 niliwahi kuleta story ya Range Rover fulani ya mzungu mmoja kule Zanzibar. Nadhani baadhi ya member watakuwa wanakumbuka. Ila short story ya hiyo gari mpaka inawaka, Unaweza kuangalia hii video. 👇🏾 Sasa ilipokuja kuwaka kukawa na challenge moja. Oxygen sensor zote 4 zilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Simba fainali hii ni jambo la Kitaifa, ila mnaonekana mmedhamiria kuharibu hii burudani

    Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria. Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu ujao tutatumia katiba hii hii. Amini, usiamini

    Katiba mpya ikishaundwa na kukamilika haianzi kutumika mpk pale sheria na kanuni zitakapobadilishwa ili kuendana na katiba hiyo. Ikiwa mpk Sasa katiba haijaanza kuundwa kukiwa kumebaki miezi michache tuingie kwenye uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa na baadaye uchaguzi mkuu, hiyo katiba...
  15. JamiiForums Tanzania Hofu yangu huenda Taifa likapatwa na aibu jioni hii

    Jioni ya leo itachezwa fainali ya kwanza ihusuyo mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika baina ya timu ya Yanga dhidi ya Usm ya Algeria. Hivi karibuni yamepata kutokea matukio ya ukatikaji wa umeme mara kwa mara ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo fainali hiyo inachezwa leo jambo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Basi mkikutana na vijana wa aina hii muwakumbushe mambo haya Matatu

    Haya mambo matatu ni ya muhimu sana kwa vijana waliopo kwenye siasa 1. Kuna maisha baada ya Cheo /siasa. 2. Siasa haina rafiki au adui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi . 3. Siasa ni mchezo mchafu waachwe wanao uweza waucheze. Mwisho huyu mwanaharakati akumbushwe ni bora ajifunze kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ukijiepusha na hizi dhambi utaingia peponi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa. Ni katika utawala huo kulikuwa na matukio ya watu wengi kupotea katika mazingira ya utata, na hawajawahi...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeitazama hii video kwa makini hakika Uongozi ni jalala

    Nyerere,JPM na Sasa Ruto
  19. JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Habari jf ni Crala Kidoti tena. Hii issue ilimtokea mdogo wangu mwaka 2019 upande wa baba mkubwa wangu. Dogo alikuwa na mchumba wa kike aliyedumu nae kwa miaka miwili kwenye uchumba. Hatimaye wakafunga ndoa mwaka 2019 mwenzi wa 3, na mkewe alimpata na kuwa mchumba wake baada ya kuachana na...
  20. JamiiForums Tanzania INFINIX YA 1.5ml hii hapa

    Ni infinix zero ultra
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…