hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyumba hii nimeijenga kwa miaka mitatu

    Ilikuwa Tarehe 02/09/2020 nilifanya maamuzi ya kununua eneo la makazi yangu Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mamlaka ya mjimdogo Katoro, kitongoji cha Inyala, Kata ya Nyamigota. Baadae nilipata pesa kidogo nikajisemea kwa umri wangu huu ndio muda wa kutafakari na kuweka familia pamoja kabla...
  2. JamiiForums Tanzania Game station business: Naomba taarifa kuhusu hii biashara

    Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara. Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani) Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Chukueni hii kumhusu Kocha Nabi kwani huenda ikaja kutokea baada ya 'Kubuma' huko kwa 'Madiba' Bondeni

    Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii au Mechi za Awali za Klabu Bingwa na ikoonekana anakomaa (anashinda) Wachezaji Waandamizi wa Klabu...
  4. JamiiForums Tanzania Wadada mnaovaa mawigi kuweni makini mnapopita kwenye hii milango ya kisasa

    Leo nimeshuhudia wigi la mdada limeanguka baada ya kunata kwenye mlango,aisee ki ukwel ana kichwa kibaya saaaaanaa. MY TAKE Kama ni mdada na unavaa mawigi ongeza umakini usije kuaibika kama una kichwa kibaya.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya mashirika yanayostahili kubinafsishwa bila hata kuuliza ili tusonge mbele

    Wanabodi wa jamii forums, Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana. 1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ya hii nchi yamenichosha sana, ni kama ku-deal na watoto watukutu

    Nchi hii inachosha sana ukiangalia mambo inayofanya, vurugu kila kona na wala huoni mambo ya maana yakifanyika. Ni kama kuwa na watoto watundu, unamkataza hiki anafanya kile, ukimkataza kile anarudi kwenye hiki. Ni kama vile wakubwa wanafanya "Trolling" ili kuwaudhi tu wananchi. Nimechoshwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nilivyogeuza imani hii ya kishirikina kuwa fursa ya biashara na kutengeneza mamilioni

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing. Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika) Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima. Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center. Nikiwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana

    kwa ufupi, hii ni aibu kwa taifa kubwa kama Tanzania, nchi yenye rasilimali chungu nzima, raia wanyonge ambao unaweza kuwa dhulumu utakavyo, nchi ambayo haijui njaa wala uchungu wa risasi za magaida.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hii ngoma mpya ya lavalava Kali ametisha

    Jana ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza nasikia ngoma ya lavalava nilikuwa sijawahi kuitafuta kuisikiliza ila wakati nipo kwenye daladala ndipo ngoma nikaisikia ya Tajiri jamaa latisha Sana kuanzia idea yake mpaka melodies Cha muhimu asiwe anakaa kimya Sana bila kutoa ngoma kwa kipindi hiki Cha...
  11. JamiiForums Tanzania Elimu ya hii nchi ina balaa kubwa katika elimu. Hebu ona hizi Combination

    Kuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
  12. JamiiForums Tanzania Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

    Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza. Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii imewekwa pembeni kwanza, kipaumbele ni SMO: Huyu boss wa Wagner ajue kuwa amwekwa kiporo

    Msimamo wa Putin unafahamika: Msamaha unawezekana ila si kwa MSALITI!! Hii sura huenda isionekane tena baada ya Special military operation in ukraine! Msaliti ni mtu aliyeaminiwa, aliyetendewa wema, kisha hugeuka na kutoa shukrani ya punda!! Kwa PUTIN mtu wa jinsi hiyo huwa hasamehewi na yeye...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoamka wakiwa na mikwaruzo, ondoa shaka, usipaniki. Nami nishawahi kupata hii hali na huu ndio mrejesho wangu

    Mara kadhaa nimeona hili tatizo watu wakiliibua na hata humu ni juzi juzi kuna mtu kaanzisha uzi, nimeona ni vema nilete experience yangu. Mimi hali ishawahi kunipata, dah we acha tu, nikafikiria mbali kwamba natembelewa na wachawi, nilipaniki sanaaaaa!! nilianza kulala saa tisa au kumi natumia...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio tafsiri ya kilichotokea katika jaribio la mapinduzi lililofanyika na Majeshi ya Wagner

    Kumuelewa Putin inabidi angalau uwe umesoma kakitabu kadogo kanaitwa Arts of War by Tsu Nzu. Siku ya jaribio la mapinduzi la mchongo lililofanyika Jana na Majeshi ya Wagner ilikuwa ni siku maalumu ambayo wameitumia kusogeza majeshi ya Wagner kilometer 100 kuelekea Kiev. Yaani kama kiev ingekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Huu ni utapeli au sio utapeli? Je, ushawahi kukumbana na hii hali?

    Thread was deleted
  17. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu angekua na akili ningemfungulia hii biashara

    Habarini wanajamvi. Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara. Biashara yenyewe ni kusambaza...
  18. JamiiForums Tanzania Hii kitu haikubaliki, hii nchi udini umeota mizizi sasa

    SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013 NA HUKUMU YA KUNYONGWA MASHEIKH 10 TANGA 2013 Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja. Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia katika biashara ya hiliki na malipo ya ushuru kijijini...
  19. JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana

    Jamii imekengeuka sana Kiongoz atakaye wathanini walimu Mnyezi Mungu atabariki sana Ni Kwa Nini kila kiongozi anayeshika nchi anajiunga na kundi la kudanganywa. Eti.. Walimu watajengewa nyumba. Mna uhakika na mnacho danganya? Nnani amesemma walimunnchi nzima wanaweza wakajengewa nyumba...
  20. JamiiForums Tanzania Jamani hii haiwezi kuwa lengo mama????

    Ujasusi ndiyo unaongoza dunia. Matukio mengi na michezo ya kisiasa mengi huchezwa kijasusi zaidi. Ujasusi hutumia aina mbili za matukio ambayo ni : (a) Tukio la uongo: Hapa hutengenezwa tukio la kuzusha la kuidanganya na kuihadaa jamii au adui aliyekusudiwa.Karibu wanajamii wote duniani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…