hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. imhotep

    JamiiForums Tanzania Je, Mama anaupiga mwingi? Jionee mwenyewe kwenye hii Video

  2. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote anayefatilia Opportunity hii ya EACOP online learning platform?

    Habari, Napenda ulizia kwa yeyote anayefuatilia hii online learning platform ya EACOP je kuna any information waungwana? MIMI nime complete session ya kwanza, next stage lini?
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana kufatilia zaidi mpira kuliko mambo muhimu yanayoathiri nchi tatizo ni nini?

    Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana. Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi. Mpira na furaha ni muhimu sana...
  4. Victoire

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

    Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe. Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kada wa Chadema adai hata Chifu Mangungo hakuwa mpumbavu namna hii. Huu mkataba una nini mbona ukakasi kila kona?

  6. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Emergency call kwa wazarendo wa nchi yetu ambao hawajaridhia maazimio ya bunge la CCM.

    Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao. 1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi. 2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae...
  7. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Mkush vs Ulimwengu na Walimwengu

    🥂RAHA YA KUwA MKUSHI 🥂 Wakushi asili yetu ni upendo hatubaguani tuna pendana 🥂Wakush hatuogopi kufa kwakuwa tunajua hii miili ni kama bodaboda tu tunapanda na kushuka 🥂Wakush tupo huru kifikra hatuabudu/kushadadikia vitu visivyo na ushahidi 🥂Wakush hatuna hofu ya mungu wa israel wala mungu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ila hii nchi hii sijui dunia inatuonaje sio kwa vituko hivi

  9. P

    JamiiForums Tanzania Mpaka wanaongea na simu wakati mjadala ukiendelea bado tunajiuliza kama hii ni geresha?

    Wakuu, Huu mjadala bungeni ni geresha tu, kutuuza mchana kweupe na watu tupo tu tunafatilia eti tuone maajabu yakitokea. Mnafikiri kitatokea kitu tofauti? Si ni kuridhisha tu watu kuwa kuna taratibu zilifanywa kutoa maelezo kwa wananchi kuwa mkataba huu ulipitiwa vizuri kabla haujapitishwa😂😂...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inapojitapa haifanyi biashara.. huku ikiuza Bandari zetu kwenye kampuni inayomilikiwa na serikali, hii ni sawa na kusemaje?

    DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai! Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari zetu, ambapo ni kampuni ya kiserikali huko Dubai, Hapa imeshajulikana nani ni nani Msemo huu ndio...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Lowasa, huu ndiyo ungekuwa Uraisi wake, hii ni version yake!

    Kama Lowasa angeshinda Uraisi hiki kinachotokea sasa kingeshatokea tangia 2015-2020, kwa maana marafiki wa Lowasa ambao walikuwa wanadhamini Kampeni zake za Uraisi ndiyo wanaouza Bandari yetu leo ingawaje hamuwaoni pichani lkn ndio wanao pull strings, hao mnaowaona wanabwabwaja ni watumwa tu na...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Babutale: Zuchu akitaka kuondoka alipe bilioni 5

    Harmonize aliondoka kwa Milioni 500 Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500 Zuchu bilioni 5. Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ? Is it fair?
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mzazi usimroge mtoto wako, mbariki

    Tafadhali, kama haujatajwa, kaa mbali na huu uzi! Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya watajwa tu, Wababa wenye Akili na Wamama wenye akili. Kuna mambo makuu mawili kwa walengwa: onyo na ushauri Onyo: USIMLOGE MWANAO. Ushauri: MBARIKI MTOTO WAKO. Kwenye mojawapo ya vitabu vya Robert Schuller...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mliopata ajira za serikali wasaidieni wale walokosa ajira kinamna hii

    Hongereni wote mliopata mliopata ajira katika kada ya Ualimu na Afya ni wakati wa kwenda kulitumikia Taifa na kuwafuta machozi wale waliokuwa wanawategemea makubwa hasa baada ya kumaliza Elimu. Lengo la uzi ni kuwaomba wale wote waliochaguliwa ajira serikalini na kwa hakika katika hao kuna...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanzania Hotuba hii ya Mkapa itufumbue Macho

  17. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari zetu: Hii ni Kandrasi, Ukodishaji, Upangishaji, Uuzaji, Uwekezaji, Ubinafishaji, Ubia ni PPP au tumetapeliwa?

    Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  19. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  20. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Browser nyingine siyo safe kabisa angalia hii

    leo nimeingia Play Store kuitafuta UC browser kwasababu inasevu data sana, cha ajabu sijaiona. nafikiri imeondolewa Play Store. Nikiwa Play Store nascroll down, nikakutana na browser ngeni yenye logo kama ya UC browser, hiyo browser inaitwa Broswer Go, inavyofanana na UC broswer moja kwa moja...
Back
Top Bottom