hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nchi pekee ambayo ukiwa upinzani basi utakosa amani

    Wasaalam wana jamvi. Nakumbuka kipindi cha nyuma tulipokuwa primary tulikuwa tunaletewa kadi za chama cha kijani na tukilazimishwa wote kusaini kama wanachama wa hicho chama. Naona sasa hiyo kitu kama bado ipo vile maana kila wanachokiona mbele ni chao. Hivi jamani inakuwaje mtu kupangiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa kwa sheria za kawaida ni ukiukwaji wa katiba ya nchi hii

    Kuna sheria iko jikoni yenye kulenga kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa na kuhakikisha wenza wa viongozi hao kulipwa 25% kama mafao ya kustaafu. Pia familia zao kuvuna 60% ya mshahara mara baada ya viongozi wa kitaifa kufariki dunia. La ajabu, huu muswada pamoja na kuchochewa na mapendekezo...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kuna hivi vifaa nchi hii?

    Habari za muda huu wadau, Nauliza kwenu hivi naweza kupata wapi vifaa vya kutengeneza ''Mini Tv cable"..Yani nakua na visimbuzi vitatu Azam,DSTv na startimes halafu na vicombine chanell zake naangalia kwenye tv 3 tofauti pia. Let say Nina king'amuz Cha Azam , DSTv na startimes.. ..jikon...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

    Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu. Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa, Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa. Yaani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto. Ana nguvu ya kutoa kauli...
  5. JamiiForums Tanzania Hii simu inanirahisishia maisha kwa kiasi fulani, natumia bando la 10k tu kwa mwezi!

    Wiki iliyopita nilipita duka fulani hivi la simu nikiangalia kisimu cha kutunzia laini zangu. Jamaa walinishawishi ninunue haka ka itel ka laini 3 dah! Nataka nikamuongezee hela alieniuzia maana naokoa sana bando langu😅 See this evidence 🤸🤸
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hii Dharau kwa Vitabu vya Dini (Biblia/Msahafu) na Katiba, haitatufikisha mbali

    Habari wana jamvi wa JF, Sisi kama binadamu, tumeumbwa kufuata miongozo. Miongozo hiyo imo katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msahafu kwa upande wa dini na Katiba kwa upande wa kisiasa. Bila miongozo hii, tusingekuwa hapa tulipo na dunia pasingekuwa mahali salama pa kuishi. Hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Nimekuta naye Januari, baada ya miezi penzi chali

    Nilikutana na huyu Bibie kupitia mtandaoni yaan nyie mnaita social network nikapiga vocal dogo hakupangua , hiyo ilikuwa January. Baada ya zile vocal dogo akaonyesha ushirikiano wa kiwango cha daraja la kwanza yaani cals and texts kila siku ebana nikapanga tukaonane face to face ....basi...
  8. JamiiForums Tanzania Kilichotokea weekend hii kati ya mimi na binti alokula nauli yangu wiki mbili zilizopita. Mabinti kuweni na adabu na hela za wanaume rijali, mtaumia

    Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na kampani yake ya mabinti wengine na wana mpango wa kuondoka wote. Nikasema isiwe kesi, basi tutaonana...
  9. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Mambo tujuzane hii

    Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0 Alafu Nika nunua tena flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0 Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya (adapter ,flash drive na memory card) nayo hii iliandkwa usb 3.0 Sasa nataka kujua utofauti wake ni nini? Kati ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kusoma kwenye hii shule

    Nilisoma kwenye shule hii kwenye miaka ya 1986-1989 https://www.youtube.com/watch?v=gBQ8OOy1LHs&pp=ygUcTnN1bWJhIFNlY29uZGFyeSBTY2hvb2wgMjAyMw%3D%3D Kama uliwahi kusoma kwenye shule hii, sema ni mwaka gani
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa kwanini dunia nzima kuna upungufu mkubwa wa matangazo ya ajira

    Kwa sababu siku hizi kuna fursa nyingi za watu kupata pesa bila kuajiriwa kuliko kipindi chochote tangu dunia iwepo. Makampuni mengi hayana sababu kufanya kila kitu yenyewe wakati kuna watu wengi tu wako majumbani wanaweza kuwafanyia hizo kazi bila kujibebesha mizigo ya Bima za afya, kodi, kero...
  12. JamiiForums Tanzania PC yako inahitaji nafasi ya kupumua, ondoa makorokoro! kwa wale tulio na utitiri wa videos, hii ndiyo njia nayotumia kuzifuta chapchap na kuzihakiki

    Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro, Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi karibu kusoma post za...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  14. JamiiForums Tanzania Sijui sababu ya hii hali

    Nimejawa na hofu sana gafla tu moyo unauma kwa hofu sana sijui kwanini hofu imetanda san Inaweza ikawa nini?
  15. JamiiForums Tanzania Siku hizi kila Fani na Cheo vinadharauliwa kwa sababu hii

    SIKU HIZI KILA FANI NA CHEO KINADHARAULIWA KWA SABABU HII Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli Siku hizi hata uwe Mfalme, sijui Waziri, sijui Hakimu, sijui Rais, sijui Kuhani, sijui Mwalimu, sijui Mwanasheria, sijui Mwanajeshi, sijui polisi, au hata uwe Nabii. Kote Huko Kwa kizazi hiki...
  16. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

    Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
  17. JamiiForums Tanzania Fumbo la hii ndoto ni lipi?

    Sikumbuki ilianzaje ila tulikuwa kwenye gari kama zile za kutembeza watali na watu zaidi ya watatu akiwemo na mke wangu na mtoto Tulikuwa tunasafiri tukafika kwenye mji una maghorofa mazuri sana lakini tulipofika tu kwenye jengo moja la ghorofa refu tukaona watu wanauwawa kwa kupigwa kwa risasi...
  18. JamiiForums Tanzania Umeona nini na nini kwenye hii Picha?

    Twende pamoja kwa wazee wa Photograph interpretation. Mention kila ulichoona kwa hii picha
  19. JamiiForums Tanzania Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

    Kwema Wakuu! Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo. Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa sababu zifuatazo; 1. Supply ya papuchi Kwa sasa ni kubwa, automatically demand itakuwa ndogo na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

    Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…