hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama ndoa zenyewe ndiyo hii wakuu aisee naungana na watu wa kataa ndoa,ndoa ni utumwa

    Hawa jamaa wa kataa ndoa wapo sahihi kabisa yaani jamani kwenye ndoa kuna mambo ya hovyo sna aisee asikuambie mtu kabisa kqwnye ndoa kuna mambo ya hovyokupitiliza bora wakati niko single ilikuwa poa sana Nilihisi kwenye ndoa nitapata peace of mind yaaani ndiyo kwanza napata depression na...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ronaldo huwa Mfalme kila anakokwenda: Ameikamata ligi ya Saudia, angalia hii free kick yake!

    CR7 anaongoza orodha ya wafungaji bora akiwa na magfoli 11 pamoja na kwamba amecheza michezo miwili pungufu kuliko wapinzani wake katika orodha hiyo. Anaongoza pia orodha ya assist akiwa na assist 5 akifungana na wengine watatu hivi. Hii free kick yake ilimwacha kipa akiwa ametulia wakati...
  3. JamiiForums Tanzania 85% ya Wezi / Matapeli wa Mitandaoni ( Tuma kwa Namba hii ) wanatokea / wako Ifakara Mkoani Morogoro

    "Huwa wanakaa katika Nyumba Moja huku Wake zao wakiwa busy kuwapelekea Vyakula. Na baadhi yao ni Wasomi wakubwa sana tu hadi wana Doctorates ( PhD ) zao" Nukuu hii nimeitoa EFM Radio Asubuhi hii baada ya kumsikia Bwana Innocent Mungi Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Habari na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa namna hii sijawahi kuwaelewa wanachokifanya

    Kuna tabia huwa siielewi kutoka kwa watu tunaoamini ni wataalam! Afisa wa polisi anaposimamisha basi na kuhoji abiria mbele ya dereva kwamba "Wanaonaje mwenendo wa dereva" Sijui huwa unatarajia jibu gani jingine zaidi sifa njema kwa dereva! Hata kama lengo ni zuri lakini ukikosea namna ya...
  5. JamiiForums Tanzania Je pesa ndio Mungu wa dunia hii ( is Money the true God of this planet?)

    Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia? 1. The holy scriptures say YES. MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu" ( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda alishindwa kuisambaratisha CHADEMA kipindi cha Magufuli. Je, awamu hii ana lipi jipya?

    Bashite akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliandamwa na kashfa nyingi za kuteka watu, kuanzia wanasiasa, wana harakati, wafanyabiashara wakubwa na hata wanamuziki. Ubalozi wa Marekani ulimtaja kwamba ni mtu hatari zaidi nchini Tanzania kwa uhai wa wasio na hatia. Wakamuondolea hadhi ya yeye...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

    Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu. ====== 'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released...
  9. JamiiForums Tanzania Dawa hii kuna mwenye taarifa zake?

    Mssada wa hii bidhaa
  10. JamiiForums Tanzania Hatukatai elimu ni muhimu ila kuwe na kipimo, Watoto shule za msingi masomo yamekuwa mengi, wakirudi home work, likizo tuition, Hii ni mbaya sana!!

    Mtoto ni kama vile kazaliwa kwajili ya kusoma tu. Tena siku hizi wameongezewa masomo na muda mwingi wapo shulenj, hawa ni watoto wenye umri mdogo kuliko hata sisi tulipokuwa shuleni, kumbuka siku hizi watoto wengi wanaanza la kwanza wana miaka mitano wanamaliza elimu ya msingi darasa la sita...
  11. JamiiForums Tanzania Tunzeni hii: Mechi ya leo kwa Mkapa Simba SC inaenda ama kuongeza 'Gap' kwa alama 6 au 5 kwani kuna watu leo watavurugana na hawatoamini

    Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa (na wanaojua Fitna za Soka la Bongo) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo? Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua...
  12. JamiiForums Tanzania Chukueni hii 100% Kocha Roberto na Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC Kocha Mgunda katika Mzozo mkubwa, ila kwa sasa Unafichwa Kwenu

    Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda. Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

    Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa. Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Hii maana yake nini? Ndio tunaenda kuuzwa rasmi?

    I think this is the poorest decision She has ever made? Tunaheshimu tu Katiba lakini hafai kiwa kiongozi mkuu wa nchi. Asaini asisaini. Hili jambo ni la kupingwa kwa nguvu zote. Kimyakimya na waziwazi.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  16. JamiiForums Tanzania Uzembe nchi hii utaisha kwa mzembe kuhukumiwa kwa kupigwa risasi hadharani

    Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:- 1. Gesi asilia ya kutosha 2. Makaa ya mawe ya kutosha 3. Mwanga wa jua wa kutosha 4. Nk nk Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti nilioufanya nimegundua vijana wengi waliosoma shule za bei kubwa wanachelewa sana kuoa tofauti na waliosoma shule za serikali, hii ndio sababu

    Hata mimi mwenyewe nimesoma shule za private lakini nina marafiki wengi waliosoma serikali, so nayaongea haya nikiwa nawajua wahusika. Binafsi kwenye shule za msingi na o leve nimesoma za private, msingi nimesoma day ada ilikuwa laki 2 mwaka 2003 (kwa sasa ni milioni 1), o level sekondari ada...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ya mwisho wadada siwafundishi tena

    Ukiona chuchu zako zinakuuma jua kuwa mume wako añavunja amri ya sita almaarufu Anazini na mwanamke mwingine huko aliko. Hii hutokea pale mtoto wako anayenyonya ameamka na wewe uko mbali kidogo na hutokea pia mume wako anapovunja amri ya sita. Wakaka nanyi niwape ishara mjue wake zenu kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Viherehere wanawake wanaojikomba sikilizeni hii

    https://www.facebook.com/reel/864002521844485?mibextid=9drbnH msiseme hamjaambiwa wakiolewa wengine maslay queens wasiochafua miili yao mnalia
  20. JamiiForums Tanzania Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…