Chukueni hii 100% Kocha Roberto na Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC Kocha Mgunda katika Mzozo mkubwa, ila kwa sasa Unafichwa Kwenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
108,993
Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda.

Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ) ndiyo alipanga Kikosi cha Juzi kilichocheza na Al Ahly FC huku akiwa hakumpanga Beki Shomary Kapombe ( ambaye kwa mujibu wa Kocha Mgunda ) alisema kuwa hakuwa Fiti na Kiwango chake kwa sasa Kimeshuka.

Cha Kushangaza Kocha Mgunda ( Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Kiutendaji ) akijua ameshakubaliana na Kocha Mkuu Roberto kuwa Beki Shomary Kapombe asianze na apangwe Beki Israel Mwenda au David Kameta 'Duchu' ghafla akaona Kapombe anaanza Kitendo ambacho Kilimkwaza sana Kocha Mgunda kwani alishajua Kapombe hakuwa Fiti na kweli hata katika Mechi ile Alipwaya, akawa Uchochoro hadi Kutolewa na kuonyesha kuwa kumbe kwa 100% Kocha Mgunda alikuwa sahihi ila Kocha Roberto alimpuuza.

Hivyo basi kwa sasa Sakata hili linafichwa / linapoozwa lakini kama Simba SC itatolewa rasmi na Al Ahly FC Jumanne kule Misri basi Timu ikirejea Kocha Mkuu Roberto Oliveira atakuwa Kikaangoni kwa Mahojiano na huenda akifanya Mzaha akafurumushwa rasmi japo uhakika nilionao ni kwamba ametegwa Kufukuzwa katika Mechi za CAFCL huku ana Kocha Nabi au Ibenge wakiambiwa Wajiandae ambapo atakayechukua Usukani wa Ukocha Simba SC atasaidiwa na Kocha Mzawa Juma Mgunda.

Haya akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe, Bloggers, Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo wa Redio na Television tayari GENTAMYCINE nimeshawapeni hii Inside Info huko Simba SC hivyo mkiichukua na kuitumia tafadhali toeni Credits Kwangu na kwa huu Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums na msidanganye kuwa mmeitafuta nyie wakati Uwezo huo hamna na ninao Mfalme na Bingwa Mwenyewe.
 
Nini kimemkuta ROBETINNHO? TIMU INAJICHEZEA TU KAMA ILIVYO NAMUNGO YA KAZE. NAAMINI MGUNDA NDIYE ANALOGA TIMU ISIFANYE VIZURI
 
Mfitini mkuu at work.
 
Kwanza Mudi Dewuji arudishe madaraka aliyopora ya uongozi wa Simba kwa Viongozi haswa ya Uenyekiti wa Mangungu,

Yaani nafasi za Viongozi kukaa na kushauriana na Viongozi wa Mpira CAf na Fifa... Mangungu na Chawa Try ageni hawaonekani....eti Rais wa Heshima Mudi ndio anatangazwa kama Mwenyekiti wa Simba!?

Hata kama Mangungu labda hajui, chiingereza lkn cha kuwasiliana na Viongozi wa CAF au Fifa Try Ageni angemsaidioooo

Suala la Robertinho liko wazi timu imemshindwaa na Christmas atakula Brazil ....Uchawi wa Guadiola mnene....si wa kitoto..

Na aliyempanga Miquession alichangia kumvuruga Robertinho....inasemekana Mudi ndio alilazimisha Luis mnene acheze wakati Robertinho Objektivu alitaka kuanza na Onana a Ona na na na...

Cairo itamfukuzisha Objektivu Kocha.....Jnne

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Duuuh Aya ni makubwa sio mchezo,,Kama mkurugenzi wa ufundi anampangia kocha kikosi apo uyo kocha kazi yake ni Nini? Si afukuzwe tu Sasa maana kashindwa kazi, ninachojua mkurugenzi wa ufundi anatoa ushauri tu kwa kocha mkuu na sio kumpangia hivyo anaweza auchukue ushauri ama auache kwa namna atavyoona inafaa kwake!
 
Ibenge au Nabi...kule kule .....tatizo ni kocha wavhezaji mfumo au uongozi? Au vyote ???

UONGOZI HAUSIKII NILIWAONYA TANGU JANUARI, MAMBO MUHIMU YA KUYAFANYIA KAZI HAKUNA LILILO FANYIKA.

Kwanza Mudi Dewuji arudishe madaraka aliyopora ya uongozi wa Simba kwa Viongozi haswa ya Uenyekiti wa Mangungu,

Yaani nafasi za Viongozi kukaa na kushauriana na Viongozi wa Mpira CAf na Fifa... Mangungu na Chawa Try ageni hawaonekani....eti Rais wa Heshima Mudi ndio anatangazwa kama Mwenyekiti wa Simba!?

Hata kama Mangungu labda hajui, chiingereza lkn cha kuwasiliana na Viongozi wa CAF au Fifa Try Ageni angemsaidioooo

Suala la Robertinho liko wazi timu imemshindwaa na Christmas atakula Brazil ....Uchawi wa Guadiola mnene....si wa kitoto..

Na aliyempanga Miquession alichangia kumvuruga Robertinho....inasemekana Mudi ndio alilazimisha Luis mnene acheze wakati Robertinho Objektivu alitaka kuanza na Onana a Ona na na na...

Cairo itamfukuzisha Objektivu Kocha.....Jnne

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Mbona tp mazembe alikaa raisi wao kwenye benchi moise katumbi badala ya mwenyekiti shida iko wapi sasa hapo.
 
Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda.

Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ) ndiyo alipanga Kikosi cha Juzi kilichocheza na Al Ahly FC huku akiwa hakumpanga Beki Shomary Kapombe ( ambaye kwa mujibu wa Kocha Mgunda ) alisema kuwa hakuwa Fiti na Kiwango chake kwa sasa Kimeshuka.

Cha Kushangaza Kocha Mgunda ( Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Kiutendaji ) akijua ameshakubaliana na Kocha Mkuu Roberto kuwa Beki Shomary Kapombe asianze na apangwe Beki Israel Mwenda au David Kameta 'Duchu' ghafla akaona Kapombe anaanza Kitendo ambacho Kilimkwaza sana Kocha Mgunda kwani alishajua Kapombe hakuwa Fiti na kweli hata katika Mechi ile Alipwaya, akawa Uchochoro hadi Kutolewa na kuonyesha kuwa kumbe kwa 100% Kocha Mgunda alikuwa sahihi ila Kocha Roberto alimpuuza.

Hivyo basi kwa sasa Sakata hili linafichwa / linapoozwa lakini kama Simba SC itatolewa rasmi na Al Ahly FC Jumanne kule Misri basi Timu ikirejea Kocha Mkuu Roberto Oliveira atakuwa Kikaangoni kwa Mahojiano na huenda akifanya Mzaha akafurumushwa rasmi japo uhakika nilionao ni kwamba ametegwa Kufukuzwa katika Mechi za CAFCL huku ana Kocha Nabi au Ibenge wakiambiwa Wajiandae ambapo atakayechukua Usukani wa Ukocha Simba SC atasaidiwa na Kocha Mzawa Juma Mgunda.

Haya akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe, Bloggers, Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo wa Redio na Television tayari GENTAMYCINE nimeshawapeni hii Inside Info huko Simba SC hivyo mkiichukua na kuitumia tafadhali toeni Credits Kwangu na kwa huu Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums na msidanganye kuwa mmeitafuta nyie wakati Uwezo huo hamna na ninao Mfalme na Bingwa Mwenyewe.
Umebahatisha mkuu kusema ukweli
 
Back
Top Bottom