hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii kazi ngumu sana

    Hii kazi ngumu sana....
  2. JamiiForums Tanzania Ipe jina stori hii fupi

    Wawili (me&ke afu wapenzi) wanatembea kwenye njia yao (walkway). na wametanua njia (freely),bodaboda akaja kwa MWENDO na ikambidi apige honi wampishe..,"ME" akashtuka na nakusema, unapitaje HUKU wakati BARABARA kubwa ipo? Haraka bodaboda akajibu, UMASKINI wako ndo unakupigisha kelele na...
  3. JamiiForums Tanzania Hii rasmi: Simba inarudi chamazi badala ya Jamhuri

  4. JamiiForums Tanzania Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru. Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago. Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.
  5. JamiiForums Tanzania Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu kufahamu hii miwani lens gani

    Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
  7. JamiiForums Tanzania Je hii mouse itaweza kufanya kazi kwenye laptop yangu

    Kinachonipa wasiwasi hapa naona wameorodhesha windows za kizamani tu nawakati dell yangu iko na windows 10
  8. JamiiForums Tanzania WOMENS DAY (MMU): Wanawake asili yenu ni roho ya huruma na kujali. Siku hii iwakumbushe kurudia asili yenu ya huruma na kujali hasa kwa wapenzi wenu

    Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla. Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi

    Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi Mwenyenayo
  10. JamiiForums Tanzania Nimesikitika kukutana na nakala na cheti cha shahada ya Uhandisi kutengenezwa kifungashio

    Kweli hiki ni kiashirio cha usomi kukosa maana katika jamii! Nimeenda pharmacy kununua dawa, nilipofika nyumbani kucheki kifungashio nakuta nembo ya usomi, UDSM. Kila aliyepita pale UDSM anaifahamu. Kutazama vizuri naona ni nakala ya cheti cha mtu, tena cha uhandisi nilikopitia mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Waja msaada wenu hivi ni nani anamiliki hii pisi?

    Kwa anayefahamu mwamba anayeikunja hii pisi msaada hapo chini.
  12. JamiiForums Tanzania Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  13. JamiiForums Tanzania No consistency no ubingwa viwanja tutahama sana safari hii

    Uwezi kutegemea ubingwa Kama timu yako aina mwendelezo wa kupata matokeo, Leo timu inadroo kesho inapigwa keshokutwa inashinda! Timu zinazocheza kibingwa zinapata matokeo ata zikiwa kwenye Hali ngumu kudondosha alama kibwege ni marufuku! Sasa timu imekimbia kutumia chamazi kwamba auwapi matokeo...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna vijana wanatamani kuacha uzinzi lakini hawawezi, tumieni njia hii

    Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi. Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa). Kuna...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kupata wendawazimu!

    Huku nikiwa naendelea kufurahia vitu vya asili tulivyobarikiwa na Mungu pamoja na chakula kizuri, maisha ya watu wangu kiujumla ni magumu sana. Hakuna jitihada za makusudi za kuhakikisha watu wanaishi maisha yenye furaha. Unajenga nyumba nzuri, unaweka mifumo ya maji, vyoo vya ku flash, AC...
  16. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni full of cry babies ndio maana Hayati Mwalimu Nyerere aliachia madaraka na hatukumuelewa Hayati Magufuli pia

    Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema.. "Napenda kuwakumbusha kuwa njia ya maendeleo imejaa jasho na vumbi. Tuzingatie utamaduni...
  17. JamiiForums Tanzania Anayefuatilia hii tamthilia anihadithie

    Wakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu. Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii. sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu tamthilia ya SIRI, na yeye huwa ananihadithia za Jua kali na zingine nyingi, sasahiv yupo na hii ya Azam...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe siku hizi ukitaka ku sponsor post kuna kulipia VAT? Imeanza lini hii?

    Huu utaratibh Umeanza lini daah
  19. JamiiForums Tanzania Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala. Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi. Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao. Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
  20. JamiiForums Tanzania Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

    Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa. Sina kachanga sina presha ni nini? Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…