Anayefuatilia hii tamthilia anihadithie

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,578
3,148
Wakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu.

Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii.

sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu tamthilia ya SIRI, na yeye huwa ananihadithia za Jua kali na zingine nyingi, sasahiv yupo na hii ya Azam.

Wenye kufatilia hii tamthilia mtuhadithie😁.

My husband family! Ifatilie tu ndugu azam 2 saa moja kamili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom