Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,248
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru.

Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago.

Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.

Screenshot_2024-03-09-14-50-26-1.png
 
Ila kwakweli hizi nafasi za uDC zingefutwaga tu.

Maana maDC hawana kazi zaidi ya kusolve migogoro ambayo inaweza kutatuliwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zetu tu.

Ni kupoteza gharama na kuitwisha mzigo Serikali wa kuwahudimia tu
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru .

Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago .

Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi

View attachment 2929403
Wengine wakiwa wapo busy kwa maendeleo ufipa wapo kwa kutafuta vijimatukio visvyo na masikio wala njewe!
 
😂😂😂 dah aliizindua nje tu au alipewa na chumba akazindue kikamilifu?
Umenikumbusha mbali nilivyokuwa nabeba zege kabla sijaenda ulaya. Tukishachimba chamber septic na choo kukamilika kujenga mimi ndo fundi maiko alikuwa ananipa jukumu la kuzindua.

Yani ni mwendo wa mbrrr mbrrr mbrr halafu mzigo hukuwa wa kitoto yani nikishindo maamae with devastating impact.

Mbrrr mbrrrr mbrrr

adriz Mufti kuku The Infinity Chaliifrancisco (mbusii)
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru .

Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago .

Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi
Kumbe chadema hakuna hoja ni upuuz upuuz tupu. Kwan ukiwa, mkuu wa wilaya hauruhusiwi kuzindua chochote cha maendeleo ya jamii? Mfano baa,hotel, nyumba za wageni. Nilikuwepo Tunduru kipindi fulani, Mtatiro Alizindua michango ya ujenz wa makinisa, misikiti, ni sehemu ya maendeleo. Hiz hoja za cdm sasa ni za kitoto na kipumbabu.Na nafikir zinaanzishwa na vijana wenu wa mitandaoni waliokosa muelekeo. Sasa hizo ni hoja za kitoto. Kweli CDM imepotea na mtaandama sana.
 
Back
Top Bottom