hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nashauri haraka, SUGU na Proffesa J, hii Milioni 40 ya Tone Tone, iliyobakia muitafute uwanja wa mkapa, wekeni Kiingilio kiwe Sh;500 tu.

    Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA. Nashauri, Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup. Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Hii sio Dunia ya Serikali kuhodhi ujenzi wa miradi yote mpaka choo- David Kafulila

    Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi. == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  4. JamiiForums Tanzania Huduma Hii Ya Kulisha Ubongo Itasaidia?

    Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi, Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata, - kukosa muda wa kusoma vitabu. - lugha changamoto sio kwamba hawajui kizungu ila ni kwamba "hawatak suluba ya kubabaika kuelewa" nina...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye interview hii atuwekee hapa in full...Warioba na Jenerali Ulimwengu

    Hii hapa excerpt
  7. JamiiForums Tanzania Sofa hii ina matumizi gani?

    Wakuu hii sofa ina kazi gani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tengeneza sabuni kupitia video hii

    Angalia hii tutorial kisha fanya majaribio. Usisahau kushare nasi matokeo hapa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wenye biashara za hotspot mnapoteza wateja na pesa kwa kununua vifaa feki au kuwapa kazi kina fundi Maiko, Hii wifi ya 3 nakutana na shida ile ile

  11. JamiiForums Tanzania Nina jamaa yangu tangu nimjue hajawahi kuwahi tukikutana. Hii inasababishwa na nini wakuu?

    Always mimi ndo nawahi Nimeshamwambia sana kuhusu ila hanielewi Kama tukisema tunakutana saa 9 mtu anakuja saa kumi na nusu. Kila ukimuuliza anasema kuna foleni Kwani sisi wengine hatuna foleni. Kuna siku nilimwambia nimefika ili awahi, ingawa nilikuwa bado sijatoka. Akasema yuko njiani...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto naomba isiwe kweli, imeniogofya na kunifanya niamke na kuanza kuitafakari

    Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini. Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka Namwomba...
  13. JamiiForums Tanzania Je hili lipo sawa muwekezaji kutoa sharti la namna hii?

    ๐ƒ๐€๐๐†๐Ž๐“๐„ ๐–๐€๐๐“๐’ ๐๐‘๐Ž๐“๐„๐‚๐“๐ˆ๐Ž๐ | ๐Ÿ›ข ๐—”๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜๐—ฒ wants to build a mega oil refinery in Lamu. But there's a catch: They want government protection first. Dangote wants govt to block cheap imported fuel so his Lamu refinery can survive. No company will build for 5+ years if imports can undercut them...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kama unasumbuliwa na aina hii ya vipele nyuma ya shingo/kisogoni ipo dawa rahisi sana

    Mimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana. Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona. Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa dawa 2 vidonda vilikauka haraka ndani ya siku nne tu za mwazoni now niko kabisa . Dawa hii...
  15. JamiiForums Tanzania Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

    Ni watoto wako Ndugu zako wazazi wako Mme wako Mke wako Wafanyakazi wenzako Mabosi wako Wanasiasa wenzako Wafanyabiashara wenzako Marafiki zako Viongozi wa dini yako Wana jf wenzako Walevi wenzako Wanafunzi wenzako, au nani? Nipo hapa stendi ya mabasi, napata kahawa chungu na wakulungwa huku...
  16. JamiiForums Tanzania "Za kutumia tu hizi" Je hii video ina uhalisia wowote?

    Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi. Je video hii ina uhalisia?
  17. JamiiForums Tanzania Hii inamhusu Ali Hapi na wenzake wanaotopoka upuuzi.

    Wanaropoka upuuzi eti Chadema inanufaika na Lissu kuwa gerezani๐Ÿ‘‡
  18. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

    Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika. Tatizo ni nini???
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  20. JamiiForums Tanzania Mlio oa je hii ni kweli?

    Mlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ