hesabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Gari la mkataba au hesabu

    Wakuu habri ya majukumu, mimi ni mkazi wa dar es salaam nina account ya bolt na ninahitaji gari ya mkataba au hesabu kwa ajili ya bolt mawasiliano yyangu ni 0786670079
  2. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kuzihoji Halmashauri 39 zenye dosari za Ukaguzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ninafungua Barbershop: Je Vinyozi Walipwe Mishahara au Wakabidhi Hesabu?

    Habari zenu wakuu? Natumaini wote mpo salama na mnaendelea vizuri. Nina mtaji ambao ninatarajia kuwekeza katika kufungua barber shop eneo la Msamvu, karibu na Stendi Kuu ya Morogoro. Mpango wangu ni kuwa na viti vinne vya kisasa vya kunyolea, pamoja na chumba maalumu cha scrub chenye vitanda...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujua Mussa alikua katili kwa kiasi gani Bonyeza HESABU 31;17-18

    Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka.. Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika.. Turudi...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Bajaji ya Hesabu au Mkataba

    Naitwa George ludomya makazi ni Kunduchi, Dar es Salaam. Nimekuja kwenye Jukwaa hili ili kuomba kama kuna mwenye ajira ya dereva Bajaji iwe Mkataba au hesabu. nina leseni iliyokamilika pamoja na cheti kutoka veta ,pia nipo tayari kuja na mdhamini ambaye yupo serikali, passport zitakazo hitajika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Boda boda za mkataba na hesabu huwa zinawalipaje wamiliki

    Leo nimekaa nikawa najiuliza biashara ya boda boda za mkataba na hesabu huwa zinawalipaje wamiliki wa bodaboda izo na huchukua muda gani kurudisha mtaji na kupata faida Embu wanaujua hii waweke comment hapa😁
  7. JamiiForums Tanzania Induction vs Gas: Okoa Pesa, Hesabu Hazidanganyi!

    Watu wengi wakisikia "kupika kwa umeme," akili zao zinakimbilia kwenye yale majiko ya kizamani ya Coil (yale yanayowaka wekundu). Wanawaza bili kubwa za TANESCO na majiko yanayochelewa kupata moto. Lakini leo nataka nikutambulishe kwenye teknolojia ya Induction—ambayo ni rahisi, ina kasi, na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ewe mmiliki wa kampuni, unafahamu ya kuwa leo 30 Juni 2026 ni siku ya mwisho kuwasilisha hesabu za kampuni yako Kwenda TRA?

    Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023). Epuka kuingiza...
  9. JamiiForums Tanzania Hesabu za maandamano, na hamasa ya waandamanaji

    Chizi anachekesha kama hatokei kwenu. Salaam jamiiforum, hope ni wazima na hata wale wagonjwa pole mtapata nafuu. Kwanza niseme tu Mimi si muumini wa kupost habari za siasa,ila ni mfuatiliaji mzuri wa habari za siasa na nipo karibu mno. Kunako social networks na sources kibao naona...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
  11. JamiiForums Tanzania Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  12. JamiiForums Tanzania Unafanya biashara gani , je unahitaji mfumo kutunza taarifa

    Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi , Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama Mining Ofice management office Spare Store Management Systerm Loan Ofice Managenent System POS for supermarket and all size shop Nakadhalka Je unahitaji mfumo wowote ambahaupo hapo na una miss...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotumia hesabu kutabiri matokeo ya mechi muhimu za jana na kujikusanyia mamilioni

    Siwezi kuacha hili lipite bila kuleta mrejesho vijana wangu I feel good @ holoholo-baba kijacho Rejea post hizi ili kujifunza nguvu ya hisabati kweye maisha ya kilasiku https://www.jamiiforums.com/threads/leo-simba-ana-uwezekano-mkubwa-sana-wa-kushinda-nitawachambulia-kwanini.2434257/...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua Hesabu

    Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe. Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla. Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema "Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
  16. JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  18. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani wanategemea sana hesabu

    Wamerekani wamekuwa wakionesha Dunia kuwa Hesabu ndio kila kitu Jeshini kwani 100% ya maamuzi yanayofanyika jeshini/vitani ni Hesabu & Physics Mfano: 1. Kurushusha mabomu ni hesabu kwa huku kwetu ipo kwa kidato cha tano Phy/maths 2. Mambo mengi vitani yanahitaji prediction (probability) ipo...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote, Hakikisha unajua hesabu ya Matendo na maneno yako kabla hujazungumza

    Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana. Weledi katika hutuba unahitajika sana, kamwe usije ukajitolea tu maneno kichwani mwako utaharibu mambo. Hayohayo maneno unayotamka...
  20. JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…