Natafuta Ajira ya Bajaji ya Hesabu au Mkataba

Natafuta Ajira ya Bajaji ya Hesabu au Mkataba

Gblaiz

Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
15
Reaction score
22
Naitwa George ludomya makazi ni Kunduchi, Dar es Salaam.

Nimekuja kwenye Jukwaa hili ili kuomba kama kuna mwenye ajira ya dereva Bajaji iwe Mkataba au hesabu. nina leseni iliyokamilika pamoja na cheti kutoka veta ,pia nipo tayari kuja na mdhamini ambaye yupo serikali, passport zitakazo hitajika na kuandikishana serikali za mtaa kama utaratibu unavyotaka Namba zangu za mawasiliano 0753-500892 na 0741-077707 , Natanguliza Shukrani zangu, Ahsanteni.
 
Nilitaka kumpa ushaur kama huu.

Ni rahisi zaid maana Kuna maboss wataongeza bajaji. Kuna Maboss watabadilisha madereva bajaji na nk.

Kila la kheri Kaka.
Ndio mara nyingi huwa hivyo na hata pia wanaotaka kuingia kwenye hii biashara huwa wanawaamini sana madereva. Huwa asilimia kubwa ya fursa za kazi wanawapa nafasi madereva wawatafutie watu wanaowaamini.
 
Ndio mara nyingi huwa hivyo na hata pia wanaotaka kuingia kwenye hii biashara huwa wanawaamini sana madereva. Huwa asilimia kubwa ya fursa za kazi wanawapa nafasi madereva wawatafutie shukrani

Ndio mara nyingi huwa hivyo na hata pia wanaotaka kuingia kwenye hii biashara huwa wanawaamini sana madereva. Huwa asilimia kubwa ya fursa za kazi wanawapa nafasi madereva wawatafutie watu wanaowaamini.
🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom