hela

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

    Habari za jioni wadau! Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

    Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako. Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
  3. JamiiForums Tanzania Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

    Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

    UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
  5. JamiiForums Tanzania Epuka sana kuwa na marafiki ambao wakiona hela wanapagawa

    Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja. Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake...
  6. JamiiForums Tanzania Njoo tuelekezane jinsi ya kupiga hela Burundi

    Ndugu zangu kuna biashara nataka kujaribu kufanya ya kutoa bidhaa Kariakoo kupeleka Burundi ila katika pitapita, nimegundua changamoto zifuatazo. 1. Mabadiko ya thamani ya pesa ya Burundi 2. Ugumu wa kubadilisha fedha. Yaani ukiwa na faranga ni ngumu sana kuirudisha kuwa Shilingi. 3. Suala la...
  7. JamiiForums Tanzania Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

    Sasa ni zamu ya pemba.
  8. JamiiForums Tanzania Mwijaku kuhusu H Baba kujitoa Konde Gang, mwanaume unaomba hela kwa mwanaume mwenzako, utamlipaje?

    Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo yake: “Mimi siwezi kukaa naomba hela, mke wangu atanionaje, mwanaume unakaa unaomba hela, nina afya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania GSM wakisema Yanga kuna hasara, kimya. Akisema Mo Dewji wanashuka naye jumlajumla. Mafanikio ya Simba ni kitanzi cha Mo Dewji

    Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya. Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
  10. JamiiForums Tanzania Eti hizi hela zimekamatwa wapi?

  11. JamiiForums Tanzania Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

    Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji. Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Habari Wana jukwaa... Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia. Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna kuibiwa hela ndani siku hizi?

    Wakuu kuna jirani hapa anadai wezi wamevunja kwake wameingia ndani na kuondoka na pesa. Mimi sishangazwi na huo uvunjaji wala wizi wenyewe kinachonishangaza ni ishu ya wezi kuzikuta hela ndani unapolala. Hivi wakati huu wa mabenki, sakosi, vikoba na ma-mpesa kama yote bado kuna watu wanakaa na...
  14. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

    Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hata songwe Hela Uviko zimepigwa, mkurugenzi wake yupo kimya

    Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa rasmi za wilaya zote ikiwa pamoja wilaya ya Songwe. Kwani kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa na...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

    Habari wadau, Nina ndugu yangu mkazi wa Kongowe hii ya Mbagala anasema amelipia umeme toka mwaka jana 2021 mwezi wa nane Ile 27,000 lakini mpaka Leo anazungushwa Tu kufungiwa umeme. Kauliza tatizo nini kaambiwa eti Nguzo hakuna ina maana miti yote Ile iliyojaa iringa au Yale yaliyokua...
  17. JamiiForums Tanzania NMB wamenifanyia uhuni; wamechukua hela yangu

    Nilikuwa na million na kitu Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 1,198,940 tarehe 2022/01/22 17:01:38. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101201775871 Nikatoa laki nne TU nikitegemea itabaki laki Saba na kitu.leo nacheki salio nakuta pesa ndogo Salio la account yako...
  18. JamiiForums Tanzania Je, umeelemewa na michepuko, au wapenzi wengi na unashindwa namna ya kuwaacha? Wambie huna pesa

    Habari! Ni hulka ya kila mwanaume kutamanitamani vibinti vizuri vyenye sura au umbo zuri. Na ikitokea una kakipato kidogo cha kubadilisha mboga ghafla unaweza kujikuta una wapenzi 3-5 au zaidi huku nyumbani una mke. Hii hali inachukuliwa poa ila kwa hakika inafanya umasikini uendelee...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanamke unampa hela nyingi halafu anaku-cheat na mwanaume ambaye ni masikini kuliko?

    Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard. Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa TRA mna matatizo gani? Mnaomba omba hela za rushwa kila huduma kwa mteja!

    Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo! Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…