hela

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

    GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
  2. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

    Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo; ~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa. ~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili...
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tanga: Wazee wanufaika wa TASAF wanafanyishwa kazi ndio wanapewa hela. Hivi ndivyo Serikali ilivyoelekeza?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana. Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo. Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hela za tozo zinafanya kazi gani?

    Habari wanaJF Naomba kuuliza, hizi fedha za tozo wanazokata serikali kwenye miamala yetu ya simu huwa zinafanya kazi gani? Ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo au matumizi ya kawaida, naomba kujua maana naona kimya tu?
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu maisha ya utafutaji usiombe mtu hela muombe connection

    Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu. Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  7. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Kama unataka unataka hela ndefu weka mzigo kwenye hisa za Tanga cement PLC

    Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi. Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta. Asante
  8. S

    JamiiForums Tanzania SIACHI HELA NAE KAFUNGA

  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kuna ile furaha unaipata unapomsaidia mzazi/mlezi, ndugu au jamaa hela au chochote, ni special sana

    Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake, Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

    Kwakuwa mnalalamika sana, Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
  11. tpaul

    JamiiForums Tanzania Musiba amemponyoka Membe lakini Shangazi na mama wa hela ya mboga wamemng’ang’ania; hana pa kuchomokea, anadaiwa jumla ya Tsh bilioni 15.58!

    Subiri kwanza, bado mapema. Cyprian Musiba Majura Muingereza popote alipo anaweza akawa anachekelea kuwa Membe kafariki, hivyo amenusurika kulipa mabilioni aliyokuwa anadaiwa. Anajidanganya sana. Hii ni sawa na kuchekelea kuruka majivu halafu ukatua motoni. Hii ngoma bado mbichi sana! Hukumu ya...
  12. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada kakosea kutuma hela nifanyaje?

    NIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha. Nikarud zang geto kunywa chai na mama umut(wife anakiband), sasa nikiwa namalizia...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa hivi bado kuna wanaume wakiombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza wanatoa?

    Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana kuona mtoto wa kiume wa form 2 akimwambia mwenzake, "huyo ukimtumia hela, ghetto kwako hatokuja, na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnapata hela za kurudisha wakati huku Kibamba tuna lami chini ya asilimia 5 jimbo zima?

    Nimesoma moja ya post humu kwamba kwa mujibu wa CAG, Tanroads walikuwa na bakaa kwenye bajeti yao. Nimesikitika sana kwa kweli. Hali ilivyo mbaya sana tena sana kwenye jimbo la kibamba kwa barabara zilizopo chini ya Tanroads, alafu inapatikana hela ya kurudi serikalini? Hii si ni dharau kweli...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hizo hela milioni 10 wapeni Yatima, timu zenu zote zitatolewa tu

    Yaani you take 10 mil on kuwafurahisha watu wanaolipwa vizuri na taasisi zao. Mungu lazima awashushie angamizo, timu zenu zote hazifiki Popote we need to get rid this fallacy. Ni watu wangapi wanaopambania uhai wao kwa kukosa matibabu eti ugawe mil10 kwa mpira huu wa kipuuzi
  16. Lumbi9

    JamiiForums Tanzania Wanamahesabu kutoa hii kitu hapo posta itagharimu hela ngapi

    Gharama zake mpaka zinafika bongo zinaenda kama hvyo, vp kuzitoa pale mchanganuo wake umekaaje
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe mbinu za kuingiza hela kupitia lugha pendwa ya Kiswahili kwa mtu mwenye taaluma ya ualimu wa Kiswahili

    Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Yanga aliyevaa jezi namba 12 kwenye mechi ya leo ningekuwa na hela ningemzawadia kitita

    Kwa hakika huyu mchezaji (sijapata jina lake) amefanya kazi ya ziada katika upatikanaji wa goli la pili. Amekimbia kwa speed kali na mpaka anatoa pasi, ni wazi alikuwa ametumia maximum energy aliyokuwa amebaki nayo kwa wakati ule na kidogo aanguke baada ya kutoa pasi ila akamudu vyema. Pia...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Acha makasiriko tafuta hela": kauli inayochochea mmomonyoko wa maadili

    Kwa wakati huu wakati taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la kukosa maadili kumetokea pia namna nyingi za shetani na wafuasi wake kuwakatisha tamaa wale wote wanaopigania maadili mema. Imefikia wakati mtu ambaye anashauri kuhusu mwenendo mzuri kwenye jamii kudhalilishwa na kuonekana mjinga na...
  20. Yes INDEED

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliopo chuo, wenye sura mbaya na hatuna hela CHAPUTA ni mkombozi wetu

    😅😅💯
Back
Top Bottom