Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.

Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.

Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
 
Bongo bahati mbaya mtajonyonga bure Kalibi Ulaya
 
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.

Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.

Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
Hiyo haina madhara sababu utafungua ID mpya,toa ahadi ya kutoa kitu ambacho huwezi kureplace ama kurudisha tena.
 
images (1)-1.jpeg
 
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.

Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.

Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
BRO BADO HUJASEPA TU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom