hekaheka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hekaheka za Idd

    Wenzetu wanapenda dini yao usipime. Huku kwetu kumekucha. Watu wananunua nguo usipime! Nyama hakuna! Kuku wote wameisha sokoni! Bata nao leo wamepata soko! Vimbuzi vinalia! Mbuzi Katoliki kwisha!😳🤭🤔🥱 Waje Leo Waondoka Leo!
  2. McLaren

    Mkataba wa madini kati ya mfalme Lobengula na Serikali ya Uingereza ulivyoleta hekaheka nchini ufalme wa Matebele nchini Zimbabwe

    Wakuu, Mkataba wa Rudd ulikuwa makubaliano muhimu ya haki za madini yaliyosainiwa mnamo Oktoba 30, 1888, kati ya Mfalme Lobengula wa Matabeleland na mawakala waliomwakilisha mfalme wa kikoloni wa Uingereza, Cecil Rhodes. Hati hii ilikua msingi wa kisheria wa ukoloni wa Uingereza katika eneo...
  3. Mvinyo mpya

    Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

    Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM. Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
  4. Mjusi Sharobalo

    Hekaheka za Xmas na kunusurika kifo

    Salamu wakuu. Ndani ya siku hizi mbili tatu nimekuwa na ukimya usio wa kawaida ndani ya jukwaa hili na si kawaida yangu kupotea kwa muda mrefu kiasi hicho. Ukweli ni kwamba nilikumbwa na tukio la uvamizi usiku wa XMAS tarehe 25 December baada ya kuvamiwa na vibaka, majambalika, wakulungwa wa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Mbinu ya Kunyamaza kwa Samia Suluhu kumepunguza kwa sehemu kubwa hekaheka mtandaoni

    Hamjambo! 1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga. 2. Mbinu hiyo inafanya kazi haswa tena ni mbinu kamilifu hasa ukiwa upo upper hand. Lakini ukiwa lower hand...
  6. I

    Viwanja 10 vya ndege Afrika vyenye hekaheka

    Pamoja na kuwa tuna vivutio vingi vya kitalii, Tanzania hatumo. Tunakwama wapi?
  7. M

    Picha: Hekaheka za Krismasi mjini Chato

    Maandalizi ya sikukuu huko Chato
  8. R

    GE2025 Picha na Video Hekaheka za Kitila Mkumbo akisaka kura kwa wananchi

    Wakuu habari, Hizi ni baadhi ya picha na video za Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo akipita mtaani kusaka kura kutoka kwa wananchi kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 Je, ataendelea na muenendo huu wa kufanya ziara Mtaani katika Jimbo lake...
  9. Street Hustler

    Wakati CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito ACT na CHAUMMA Huwa nao wanapoteana CCM ikipoa nao wanapata nguvu Kuna Nini hapo?

    Katika huu mwaka wa uchaguzi Kila kipindi CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito vyama kama ACT na CHAUMMA navyo Huwa vinaingiza mkia nyuma lakini huko CCM kukipoa ACT na CHAUMMA utawasikia wanapata makali. Saiv usikii chaka to chaka usikii watu wakinadi sera zao lakini kipindi CCM wakipata afadhali...
  10. technically

    Hekaheka na Usanii vimeisha Sasa tuanze reform

    Mipira imeisha Pesa za Abdul zimeisha Chauma imedoda ACT imedoda Tumezunguka uwanja wee Sasa tumerudi kwenye original starting point ya Chadema. Ni Kama tulipoteza muda wetu bure na makusudi Usanii wote na mamipila yenu kuwapumbaza Watanzania yameisha Sasa. Tunahitaji reform sasa buddy...
  11. A

    UJIO WA MABASI YA SHABIBY LINE DAR-TANGA WAZUA HEKAHEKA, WAMILIKI WENGINE WAKUNA VICHWA!

    Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani. Habari kutoka mtandao mmoja wa...
  12. Mjanja M1

    Hekaheka za Ndoa

  13. TheForgotten Genious

    TRA punguzeni hekaheka zisizo na msingi kwa wafanya biashara, fanyeni integration ya mfumo wenu na wa NIDA ili mteja apate nambari ya NIDA papohapo

    TRA sijui niseme wamekosa ubunifu ktk kutoa huduma zao au wapowapo tu kutumia nguvu ktk kutimiza majukumu yao? Ili uweze kupata nambari ya mlipa kodi TIN nilazima uwe na na kitambulisho cha NIDA,ambao nao wapowapo tu kama msumari nilazima wagongwe ndio waendee,mtu akienda kuomba TIN na hana...
  14. D

    Uchambuzi: Kwanini Rais Samia hakukataa kusalimiana na Mange

    Kuna vijiminong'ono! Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO? Jibu ni ndiyo! Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu zifuatazo; 1. Rais alihudhuria mkutano na kuongea na watanzania waishio Marekani, hivyo kukataa...
  15. ndege JOHN

    Wazee mnaokaribia kustaafu jipumzisheni basi na hekaheka za kikazi

    Unakuta mzee kabakisha miaka miwili au mmoja astaafu anaanza kuwa na hofu ya maisha baada ya kustaafu ile hali inampelekea awe katili sana linapoluja suala la pesa.Kila safari inayokuja analazimisha ahusike hata activities ambazo zinapendeza aachie Vijana anang’ang’ania.Sio vizuri kwa kweli...
  16. mjasiriamali mdogo

    Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Wadau natafuta series zenye ladha kama hizi; Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
  17. JanguKamaJangu

    Wajumbe wa CWT wapata hekaheka kufanya kikao, Polisi waingilia kati

    Wajumbe wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), leo Septemba 25, 2023 wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzuiliwa kufanya kikao chao cha dharura cha Baraza la Taifa la CWT Wakizungumza nje ya geti la makao makuu ya chama hicho Jijini Dodoma wamesema wameshangazwa na kitendo hicho kwani wao...
  18. Binadamu Mtakatifu

    Simulizi: Kijiji cha Wakamoto na hekaheka za Gerbet

    WAHUSIKA Gerbet == Gily Mkuu wa kituo == mshamba_hachekwi Muuza mahindi == Analyse Wahusika wengine watakuja mbeleni KIJIJI CHA WAKAMOTO: Kijana msomi Gerbet anamaliza masomo yake ya udakatari na kupangiwa katika kijiji kiitwacho WakaMoto kwa ajili ya kupata kazi hapo, safari inaanza...
  19. J

    Hekaheka Uzeeni

    UPDATE Simulizi hii ina misimu mitatu (three seasons) na zote zitakuwepo kwenye uzi huu huu. 1st season ina episodes 4 tu japo ndefu ndefu kiasi. 2nd season ipo post #90 na episodes zake ni fupi fupi... 3rd season #237 UTANGULIZI Maisha baada ya kustaafu huwa yana ‘stress’ nyingi. Kujaribu...
  20. Peter Mwaihola

    Hekaheka za kibanda umiza

    Ni takriban kilomita 300 kutoka Iringa mjini kwenda Iringa vijijini tarafa ya Idodi. Ni Tungamalenga, tulifika huko kwa ziara ya Siku mbili. Shoo inaanza ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara siku ambayo Yanga alikula 3-mtungi pale Shamba la bibi dhidi ya Kagera Sugar ya wakata miwa na Mecky...
Back
Top Bottom