Bagamoyo: 52% ya bidhaa zinazokaribia kupigwa mnada na TRA, hazina mwenyewe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupiga mnada bidhaa mbalimbali ambazo zitaendelea kukaa katika vituo vya forodha kwa siku 30 baada ya tangazo lao.

Kwenye tangazo hilo wameambatanisha excel sheet yenye orodha ya bidhaa, wamiliki na mahali zilipo. Bidhaa hizo ni za sehemu mbalimbali kama Zanzibar, Kasumulu, Sirari na Bagamoyo. Ambapo bidhaa nyingi zilizokatika ofisi ya Forodha Bagamoyo hazina mwenyewe.

1686033715304.png

Graph inayoonesha kitu na kama kina mwenyewe au ni "Not Found" ambapo mmiliki hajulikani.

Mafuta ya kupikia ndio bidhaa inayoongoza kwa kukosa mmiliki/kutelekezwa huko Bagamoyo. Je, kunani bagamoyo hadi watu wanatelekeza bidhaa zao?

1686033789050.png
 
Back
Top Bottom